Zuwenna
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 2,133
- 3,758
HahahaDiamond anapendelewa na Wanaigeria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaDiamond anapendelewa na Wanaigeria
Ahhha haaahhKuanzia sasa wakulinganishwa ni Alikiba Vs Harmonize
hahaha pesa anayolipwa baleire inashinda mtaji wa alikiba alioutoa mofayaKuanzia sasa wakulinganishwa ni Alikiba Vs Harmonize
AAA aahha haaayaani kwa vigezo hivo gigy money hayumooooooo.!?? hapana kwa kweli, Shonza njoo fungia hii listi.
Tupe maoni yako mkuuKwa wao.wapo sahihi kuna walakini kidogo hapo no 5...
Unawalinganisha kwa lipi?Kuanzia sasa wakulinganishwa ni Alikiba Vs Harmonize
nipmVideo ya ngono ya Nandy imechangia kushuka kwake...
Kiba peke yake ndio mkongwe hapo ila bado vijana wanaangaika naye.povu kutoka kwa Kiba100 inasemaje?? mana kashindwa hadi na Harmonize
Lkn kakalishwa na V money, Harmonize mkuuSio kweli. Hao jamaa matokeo yao ni ya hovyo sana, kiba hata aache kuimba muziki atabaki namba 1.