Wao wanazani nasisi tuna utaratibu kama wao wa kuuza nyimbo, so the way msanii anavyotoa nyimbo nyingi kwa mwaka ndio anavyoingiza mkwanja mrefu
Huku kwetu ni tofauti msanii kama aslay na nyimbo zake zote alizotoa mwaka jana ni kweli karibia kila mtanzania anazo ila hajazinunua ni kudowload tu bure
Japokuwa hayo ni mawazo yao kutoka kwenye vyanzo vyao inabidi tuyaheshimu although kila mtu akipewa nafasi aandae list yake itakuwa tofauti sana na hii list kwakuwa tz kumkadilia msanii kipato ni kazi sana kutokana na mfumo wetu, wasanii wetu wanajipatia sana kipato kwenye show kuliko kwingine, many shows you get, more money you make