DG Chongolo: Wasaliti wote watoswe CCM

Nani wakuishinda CCM tanzanian
Jibu unalo na mlishashindwa mara nyingi tuu, acheni wizi na ubabe wa vipolisi vyenu vya njaa njaa muone moto wake, miaka 60 ya uhuru bado mnaiba kura na mnaongea matundu ya choo mna akili nyie?
 
CCM NA SA100 NA TEAM YAKE WOTE NI [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]TU
 
Ni mtu mpumbavu tu anaeweza kuandika huu utumbo ulioandika hapa
 
Hivi katibu wa chadema au wa tlp au act naye anaruhusiwa kufanya mikutano kama ya chogolo?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Anaruhusiwa tu lakini huwezi ukawaona kwa Sasa maana hawana ajenda za kuwaeleza watanzania zaidi ya kutumia matukio yasiyo dumu, ndio maana unaona wenye ajenda na Sera Kama ndugu chongolo wanaendelea kuwatembelea watanzania kutatua kero na kumsikiliza kero za wananchi,
Ni mtu mpumbavu tu anaeweza kuandika huu utumbo ulioandika hapa
Sasa wewe kwa akili yako unaona Kuna upinzani hapa nchini, wananchi kwa Sasa tumaini lao Ni CCM chini ya uongozi shupavu wa mama Samia suluhu Hassan Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
 
Wafukuzwe ✔️
 
Hayaepukiki haya, ukabila uzawa, rushwa ni adui
 
Vipi akaanza kutoswa yeye,na Chama chake Kwa madhila waliyoyasababisha Kwa watanzania,chukulia migogoro ya ardhi inayoratibiwa Kwa kivuli Cha uwepo wa nguvu ya Chama[emoji848][emoji848][emoji848]
Huyo ni mteule, anaongelea wanaopigiwa kura
 
Chongolo sasa naona ameamka kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…