Dhahabu kilo 53 yakamatwa uwanja wa ndege wa Mumbai kutoka kwa wasafiri waliotoka Tanzania

Dhahabu kilo 53 yakamatwa uwanja wa ndege wa Mumbai kutoka kwa wasafiri waliotoka Tanzania

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Dhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania.

Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne(sasa imeelezwa kuwa ni abiria saba).
Hii ni syndicate.

Maafisa wa Customs India waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha dhahabu, sisi Customs wetu wanahongwa tu.

Mama Tanzania tumekwisha.

UPDATE LEO
Serikali inafuatilia.......
Big up👍👍
20221115_083918.jpg
 
Dhahabu toka Tanzania imekamatwa ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania.

Dhahabu hiy imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne.

Maafisa wa Customs waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha dhahabu, sisi Customs wetu wanahongwa tu.

Mama Tanzania tumekwisha.

Nchi ina laana ya CCM. Watu wame adopt tabia za chama tawala, tabia za rushwa, wizi, uzembe, ubadhirifu na ufisadi.
 
Nimesoma story yote, inaeleza kwamba mzigo walipewa doha wakati wa transit si kwamba walitoka nao Tanzania. Kwa TZ huwezi pita na gold airport kirahisi.

Gold na madini mengi ya tz yanatoroshwa nje kupitia njia ya maji na njia za boda (land)
 
Dhahabu toka Tanzania imekamatwa ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania.

Dhahabu hiy imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne.

Maafisa wa Customs waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha dhahabu, sisi Customs wetu wanahongwa tu.

Mama Tanzania tumekwisha.

Wapi hiyo habari imesema dhahabu zimetoka Tanzania?
 
Wabongo ndo mana wanasiasa wanawaona mazuzu hata habari hujaisoma unaparamia tu kuchangia. Soma hiyo link uone kama kuna sehemu Tanzania imetajwa ndo u comment. Jifunzeni kusoma
Suala siyo waziri, kama rais karuhusu upigaji unafikiri waziri anaweza zuia? Kumbuka habari za Lyatonga (R.I.P).
"Mtanikumbuka kwa mazuri".b
 
Back
Top Bottom