Dhahabu kilo 53 yakamatwa uwanja wa ndege wa Mumbai kutoka kwa wasafiri waliotoka Tanzania

Dhahabu kilo 53 yakamatwa uwanja wa ndege wa Mumbai kutoka kwa wasafiri waliotoka Tanzania

Dhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania.

Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne.

Maafisa wa Customs waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha dhahabu, sisi Customs wetu wanahongwa tu.

Mama Tanzania tumekwisha.

Inabidi ijulikana ni Flight namba ngapi ili ijulikane nani walikuwa zamu airport siku hiyo.
Sasa hivi lazima wanajiharishia.
 
Kila Nchi inautaratibu wake, sisi tuangalie wetu kama umefuatwa, sio kulialia tu kuwa tunaibiwa.
Kwahiyo kuibiwa ni utaratibu wetu? Kweli aliyelala usimuamshe maana utalala mwenyewe. Tuendelee kuupiga mwingi
 
Kwani utaratibu wa kuuza kwenye Masoko ya Dhahabu ya Ndani umefutwa?

Nadhani ilikuwa ni njia sahihi zaidi ya Serikali ku monitor mapato yote ya Dhahabu Nchini.

Tuangalie tulipojikwaa na tusonge mbele
 
Dhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania.

Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne.

Maafisa wa Customs waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha dhahabu, sisi Customs wetu wanahongwa tu.

Mama Tanzania tumekwisha.

Shamba la bibi
 
sasa hivi kila mtu anajilia tu kulingana na aliposimama, Sasa serikali ipo full corrupt kuliko wakati mwingine wowote.

Kuna wakati kuna watu inabidi wafe, waumizwe au hata kuwa jela ili wengi wapone.
Tuko pamoja sana mkuu, inakera
 
Flight from Tanzania ndo dhahabu zimetoka Tanzania? Hiyo ndege haija connect mahala hao abiria wakapanda?
Probably Qatar Aiarways (Emirates, Air India etc haziwezi kuwa na transit ya Doha)
Kwani wanaokushika watajuaje flight yako na umetokea wapi, si wanaangalia Ticket yako tu? (boarding pass).
Nyie mjitoe akili tu, zama zile tulikuwa tunafikiri wote mamba, kumbe kulikuwa na kenge, na nyie ndiyo mmeharibu kabisa ukombozi wa nchi hii
 
Suala siyo waziri, kama rais karuhusu upigaji unafikiri waziri anaweza zuia? Kumbuka habari za Lyatonga (R.I.P).
"Mtanikumbuka kwa mazuri".
Unatuchagulia jambo la kukukumbukia? Tutakukumbuka ya yote yaani mazuri na mabaya japo mabaya ni mengi sana
 
Wabongo ndo mana wanasiasa wanawaona mazuzu hata habari hujaisoma unaparamia tu kuchangia. Soma hiyo link uone kama kuna sehemu Tanzania imetajwa ndo u comment. Jifunzeni kusoma
@Kadhi Mkuu 1 anaogozwa na mahaba ya usukuma gang. Baada ya kupata msiba wa mungu wake mpaka leo bado anaomboleza
 
Kiongozi yeyote anayejifanya kukumbatia demokrasia katika nchi za Afika hukalibisha wizi, rushwa, ubadhirifu, uonevu na uharifu uliokithiri bila kukemewa kwa kuwa wanufaika wanapata cha kwao ndivyo ilivyo kwa sasa Tanzania hamna kitu na wewe ni mmojawapo mlikokuwa mnashadadia sana utawala huu usiokuwa na huruma na rasilimali za nchi wala kujali wananchi wananufaika moja kwa moja.
akili zikae sawa
Wacha uovu uendelee kwa kuwa aliyekuwa anajitoa mlimchukia na kumfanyia njma ovu na mtakoma sana ili akili zikae sawa.
Hivi hata kuandika hujui, eti uko unajadili mambo ya kitaifa. Nyie Jiwe ndiyo alikuwa anawapenda maana mlikuwa hamtumii akili ipasavyo lakini mkapewa madaraka makubwa. Sasa mungu wenu kafa kila siku maombolezo. Ref Bashite na wewe
 
Wabongo ndo mana wanasiasa wanawaona mazuzu hata habari hujaisoma unaparamia tu kuchangia. Soma hiyo link uone kama kuna sehemu Tanzania imetajwa ndo u comment. Jifunzeni kusoma
Wewe ndio zuzu, soma the whole story kabla ya ku comment.
 
Dhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania.

Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne.

Maafisa wa Customs waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha dhahabu, sisi Customs wetu wanahongwa tu.

Mama Tanzania tumekwisha.

Watanzania uadilifu ni zero na hivyo watu Wana tamaa na wametokea familia maskini Basi Ni shida tupu..

Serikali ianzie uchunguzi kwa Hawa.
 
Back
Top Bottom