cetterhutter
Senior Member
- Sep 5, 2017
- 167
- 75
Wakuu nimatumain yangu mungu ametufikisha salama kwamara nyingine tena siku yaleo tunaendelea namajukumu kama kawaida.wakuu ninalo eneo lenye madini aina yadhababu tayari limeshalifanyia hatua za awali nimeshafanya utafiti wangu kwavitendo kama mnaona kwenye picha hapo mnapoona kiloba kimoja cha mawe kwasasa kinatoa pointi za dhahabu pia tayari eneo nimeshaliombea leseni lkn changamoto kwang kipato chakuendesha hiyo kazi kimekuwa tatizo hivyo nimekuja humu kutafuta mtu au campuni yenye uwezo wakufanya hizi kazi nia yangu kwa ambaye yuko tayari tutakutana nanitampeleka eneo husika ataangalia halafu tutaongea nakama atakuwa yuko Sirius kweli niko tayari awe patinas kwenye mgodi huu .mawasiliano ni 0756888861 eneo lipo manyoni mkoan singida maeneo ya kijiji cha londoni nadhan wachimbaji wadhahabu walio wengi wanapafahamu maana eneo hili nimarufu kwasababu yakuzaliaha dhahabu.asante nawatakia siku njema.