(DHAHABU) Natafuta mtu mwenye uwezo wakuchimba madini aina ya dhahabu

(DHAHABU) Natafuta mtu mwenye uwezo wakuchimba madini aina ya dhahabu

cetterhutter

Senior Member
Joined
Sep 5, 2017
Posts
167
Reaction score
75
Wakuu nimatumain yangu mungu ametufikisha salama kwamara nyingine tena siku yaleo tunaendelea namajukumu kama kawaida.wakuu ninalo eneo lenye madini aina yadhababu tayari limeshalifanyia hatua za awali nimeshafanya utafiti wangu kwavitendo kama mnaona kwenye picha hapo mnapoona kiloba kimoja cha mawe kwasasa kinatoa pointi za dhahabu pia tayari eneo nimeshaliombea leseni lkn changamoto kwang kipato chakuendesha hiyo kazi kimekuwa tatizo hivyo nimekuja humu kutafuta mtu au campuni yenye uwezo wakufanya hizi kazi nia yangu kwa ambaye yuko tayari tutakutana nanitampeleka eneo husika ataangalia halafu tutaongea nakama atakuwa yuko Sirius kweli niko tayari awe patinas kwenye mgodi huu .mawasiliano ni 0756888861 eneo lipo manyoni mkoan singida maeneo ya kijiji cha londoni nadhan wachimbaji wadhahabu walio wengi wanapafahamu maana eneo hili nimarufu kwasababu yakuzaliaha dhahabu.asante nawatakia siku njema.
 

Attachments

  • IMG_20171228_131408.jpg
    IMG_20171228_131408.jpg
    131 KB · Views: 73
  • IMG_20171228_125108.jpg
    IMG_20171228_125108.jpg
    116.1 KB · Views: 74
  • IMG_20171228_130158.jpg
    IMG_20171228_130158.jpg
    88.5 KB · Views: 92
  • IMG_20171228_125125.jpg
    IMG_20171228_125125.jpg
    126 KB · Views: 104
  • IMG_20171228_130543.jpg
    IMG_20171228_130543.jpg
    111.2 KB · Views: 78
  • IMG_20171228_131408.jpg
    IMG_20171228_131408.jpg
    131 KB · Views: 76
Acacia wamevurugwa, ungekula shavu.
 
Vipi chabo yake inasoma vzr lakin au magumashi
Siyo magumashi mkuu chabo ipo tena mda mwingine unaona vidoti kama mchimba dhahabu nadhan umenielewa tatizo ninguvu yapesa yakuendelea kuindesha kazi
 
Professor Muhongo alianzisha ruzuku kwa wachimbaji wadogo. Hebu fuatilia hilo suala labda utapata kwa umejisali.
Mkuu nikweli mpango wakupewa ruzuku kwa wachimbaji wadogo ulikuwezo lkn baada ya serekali ya awamu ya tano kuingia madalakani ilifanya uchunguzi wachimbaji wadogo wanaopewa ruzuku hiyo kama wanaitumia ipasavyo lkn iligundua baadhi yao hawaitumii kwaajiri yakuendesha mgodi badala yake wanafanyia shuguli zingine kama kujengea nyumba nk.hivyo serekali ilisitisha kutoa ruzuku kwa wachimbaji wadogo haadi itakapoweka utalatibu mpya kwahiyo kwa sasa huo mpango unaosema haupo.
 
Mkuu nikweli mpango wakupewa ruzuku kwa wachimbaji wadogo ulikuwezo lkn baada ya serekali ya awamu ya tano kuingia madalakani ilifanya uchunguzi wachimbaji wadogo wanaopewa ruzuku hiyo kama wanaitumia ipasavyo lkn iligundua baadhi yao hawaitumii kwaajiri yakuendesha mgodi badala yake wanafanyia shuguli zingine kama kujengea nyumba nk.hivyo serekali ilisitisha kutoa ruzuku kwa wachimbaji wadogo haadi itakapoweka utalatibu mpya kwahiyo kwasasa sasa huo mpango unaosema haupo.
Du! Wamewavurugia watu wenye nia!
 
Back
Top Bottom