Dhahabu yafumuka Dar, Vijana wahini maduara.. Katoro msije

Watu wasichojua ni kwamba dhahabu ipo kila sehemu duniani, swala ni kiasi na urahisi wa kuipata
Ila sio kwa mazingira ya Chanika kwa watu wanaofahamu aina ya miamba ya dhahabu pale Chanika hakuna miamba ama Gold Belt,kwa mkoa wa Pwani sawa hasa maeneo ya Msata,Kibindu, Bwawani, Mdaula kueleka Mbiki Reserve..
 
Scientifically dhababu ipo kila sehemu, sema huwezi kwenda kuchimba sehemu ya kiuchumi haina maslahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…