Dhahabu yote inayochimbwa Tanzania itakuwa inashafishiwa hapa

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
NIKIWA RAIS WA TANZANIA Hii itakua ni lazima na sio hiari dhahabu itakayotoka nje ya Tanzania ni ile tu ambayo ni final product na sio ambayo bado haijashafishwa

Eti nchi kama uswiss ambayo haina hata mgodi mkoja wa dhahabu eti wana-reserve kubwa ya dhahabu hiki si kituko

Na lazima ifanyike tathmini kwanini mikoa ya kanda ya ziwa ni maskini sana ilihali kuna migodi mikubwa ya dhahabu na inazaidi ya miaka 20+ sio fair hata kidogo
Tathmini itaangalia mambo yafuatayo
  • Kuna haja ya kuendelea na mikataba kama hainufaishi nchi na jamii zilizoizunguka hiyo migodi
  • Kama hainufaishi nchi basi zitafuata taratibu za kisheria za kuvunja mikataba
  • Hakuna mwekezaji atakayeondolewa kwa nguvu bali kwa taratibu za mahakama ambazo zipo kwenye mkataba


Your browser is not able to display this video.
 
CCM Hawa wamezoea kuiba ndo maana sasahibi ni uchagizi unakutana na kiongozi mwenye cheo kikubwa kama Kadogosa anaacha kazi anakimbilia kuomba ubunge.Sbb ubunge ni sehemu ya kuina pesa za nchi kupitia vikao na semina na kamati mablimbali
 
Profesa majimachafu kwenye moja na mbili baada ya kulewa
 
Na lazima ifanyike tathmini kwanini mikoa ya kanda ya ziwa ni maskini sana ilihali kuna migodi mikubwa ya dhahabu
Umaskini unasababishwa na hulka za watu. Watu wa Kanda ya ziwa wanaendekeza sana:-
1. Kuoa wake wengi na mfumo dume.
2. Kuzaa watoto wasio na idadi.
3. Ushirikina.

Kwa sifa hizi 3 hata kama mchanga ungelikuwa ndiyo dhahabu, watu wa Kanda ya ziwa umaskini unawahusu.
 
Watu wa kanda ya ziwa hawajanufaika na rasilimali zilizoko kanda ya ziwa
 
Wewe sio mzima utakuwa raisi bila chama kapime akili milembe
 
Watu wa kanda ya ziwa hawajanufaika na rasilimali zilizoko
 
Tathmini itaangalia mambo yafuatayo juu ya migodi ya dhahabu nchi nzima
  • Kuna haja ya kuendelea na mikataba kama hainufaishi nchi na jamii zilizoizunguka hiyo migodi
  • Kama hainufaishi nchi basi zitafuata taratibu za kisheria za kuvunja mikataba
  • Hakuna mwekezaji atakayeondolewa kwa nguvu bali kwa taratibu za mahakama
 
Daraja la Busisi halijajengwa kwa fedha za matobolwa ama michembe.

Meli na vivuko vilivyomo ziwa Victoria hazijanunuliwa na fedha za mabondo ama mbomboto.
Huo ni mtizamo wako kumbuka kila mtu ana-mtizamo wake
 
Anasumbuliwa na njaa Leo kasema anataka mke.

Hata kuoa ameshindwa
Uzuri mmoja hata unidhihaki vipi siwezi kasirika nimeshavuka hio stage
Wewe dhihaki wewe na ukiweza tukana ukichoka utaendelea na shughuli zako sababu hunipunguzii kitu

Mke kila mtu anatafuta kwa namna yake ilimradi sijavunja sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…