Dhahabu yote inayochimbwa Tanzania itakuwa inashafishiwa hapa

Dhahabu yote inayochimbwa Tanzania itakuwa inashafishiwa hapa

Mji wa Johannesburg ni matokeo ya dhahabu kutumika vizuri kwa maana hiyo hata kahama, geita, na tarime kama tungekuwa na sheria nzuri basi ungeendelea sana
 
NIKIWA RAIS WA TANZANIA Hii itakua ni lazima na sio hiari dhahabu itakayotoka nje ya Tanzania ni ile tu ambayo ni final product na sio ambayo bado haijashafishwa

Eti nchi kama uswiss ambayo haina hata mgodi mkoja wa dhahabu eti wana-reserve kubwa ya dhahabu hiki si kituko

Na lazima ifanyike tathmini kwanini mikoa ya kanda ya ziwa ni maskini sana ilihali kuna migodi mikubwa ya dhahabu na inazaidi ya miaka 20+ sio fair hata kidogo
Tathmini itaangalia mambo yafuatayo
  • Kuna haja ya kuendelea na mikataba kama hainufaishi nchi na jamii zilizoizunguka hiyo migodi
  • Kama hainufaishi nchi basi zitafuata taratibu za kisheria za kuvunja mikataba
  • Hakuna mwekezaji atakayeondolewa kwa nguvu bali kwa taratibu za mahakama


View attachment 3382493
Rostam azizi awezi kukubali
 
Migodi yote mikubwa inatakiwa iwe chini ya serikali kama wafanyavyo nchi za gulf zile refining zote za oil zilipokuwa chini yao ndo mwanzo wa maendeleo yao
 
Kuna faida kubwa sana kwa madini ya dhahabu kishafishiwa hapa ule mnyororo wa faida unabaki hapa Tanzania
 
Back
Top Bottom