Dhahabu yote inayochimbwa Tanzania itakuwa inashafishiwa hapa

Mji wa Johannesburg ni matokeo ya dhahabu kutumika vizuri kwa maana hiyo hata kahama, geita, na tarime kama tungekuwa na sheria nzuri basi ungeendelea sana
 
Rostam azizi awezi kukubali
 
Migodi yote mikubwa inatakiwa iwe chini ya serikali kama wafanyavyo nchi za gulf zile refining zote za oil zilipokuwa chini yao ndo mwanzo wa maendeleo yao
 
Kuna faida kubwa sana kwa madini ya dhahabu kishafishiwa hapa ule mnyororo wa faida unabaki hapa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…