Dhaka inawaka moto wafuasi wa waziri mkuu aliyejiuzulu na kukimbia nchi wameibuka kumtaka arudi

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Makundi hasimu mawili yakichagizwa na ukabila yanapambana mitaani lile linalomuunga mkono Shekhe Hazina na lile linalompinga yanapambana katikati ya jiji lenye watu wengi sana kieneo la Dhaka.

Wahindu na waislam wanapambana kila mmoja akijiona kundi lake ndio linafaa kutawala .

Hili ni somo kwa wabongo siku CCM ikitoka madarakani

USSR
 
Chadema wanajaribu mara kadhaa kuchochea vita, lakini dola iko makini kuwazuia, na wananchi wanawagomea
Chadema hawaja wahi kuchochea vita na wala hawana uwezo huo. Vita inaletwa na serikal husika pale inapo kengeuka
 
Makundi hasimu mawili yakichagizwa na ukabila yanapambana mitaani lile linalomuunga mkono Shekhe Hazina na lile linalompinga yanapambana katikati ya jiji lenye watu wengi sana kieneo la Dhaka.

Wahindu na waislam wanapambana kila mmoja akijiona kundi lake ndio linafaa kutawala .

Hili ni somo kwa wabongo siku CCM ikitoka madarakani

USSR
Hayo maandamano ya kundi hasimu yameshazimwa.
Na mipango ya serikali mpya ishaundwa bro.
 
Chadema wanajaribu mara kadhaa kuchochea vita, lakini dola iko makini kuwazuia, na wananchi wanawagomea
Ni lini chadema walichochoe vita 🤔 hata kama huwapendi sio sababu ya kuandika uongo kuwahusu zaidi unaonekana hamnazo tuu
 
Inadaiwa Dhaka ndio jiji linaloongoza kwa majengo ya ibada duniani. Imekuwaje tena wanavurugana badala ya kuishi kwa amani?
 
Makundi hasimu mawili yakichagizwa na ukabila yanapambana mitaani lile linalomuunga mkono Shekhe Hazina na lile linalompinga yanapambana katikati ya jiji lenye watu wengi sana kieneo la Dhaka.

Wahindu na waislam wanapambana kila mmoja akijiona kundi lake ndio linafaa kutawala .

Hili ni somo kwa wabongo siku CCM ikitoka madarakani

USSR
Aaah wapi, Tz hakuna makundi aina hiyo ila Kuna makundi maslahi tu nyakati za uchaguzi Kisha baadae hutoweka
 
Makundi hasimu mawili yakichagizwa na ukabila yanapambana mitaani lile linalomuunga mkono Shekhe Hazina na lile linalompinga yanapambana katikati ya jiji lenye watu wengi sana kieneo la Dhaka.

Wahindu na waislam wanapambana kila mmoja akijiona kundi lake ndio linafaa kutawala .

Hili ni somo kwa wabongo siku CCM ikitoka madarakani

USSR
Somo gani ?
 
Acha uongo inawaka moto wapi?
 
Chadema wanajaribu mara kadhaa kuchochea vita, lakini dola iko makini kuwazuia, na wananchi wanawagomea
Weng hawaoni chadema wanachotka Fanya
Wanafata mkumbo wa kisiasa
 
Back
Top Bottom