Madaktari waliweka nini mbadala sehemu iliyokuwepo akili yakoChadema wanajaribu mara kadhaa kuchochea vita, lakini dola iko makini kuwazuia, na wananchi wanawagomea
Chadema hawaja wahi kuchochea vita na wala hawana uwezo huo. Vita inaletwa na serikal husika pale inapo kengeukaChadema wanajaribu mara kadhaa kuchochea vita, lakini dola iko makini kuwazuia, na wananchi wanawagomea
Hayo maandamano ya kundi hasimu yameshazimwa.Makundi hasimu mawili yakichagizwa na ukabila yanapambana mitaani lile linalomuunga mkono Shekhe Hazina na lile linalompinga yanapambana katikati ya jiji lenye watu wengi sana kieneo la Dhaka.
Wahindu na waislam wanapambana kila mmoja akijiona kundi lake ndio linafaa kutawala .
Hili ni somo kwa wabongo siku CCM ikitoka madarakani
USSR
Ni lini chadema walichochoe vita 🤔 hata kama huwapendi sio sababu ya kuandika uongo kuwahusu zaidi unaonekana hamnazo tuuChadema wanajaribu mara kadhaa kuchochea vita, lakini dola iko makini kuwazuia, na wananchi wanawagomea
kimbaMadaktari waliweka nini mbadala sehemu iliyokuwepo akili yako
Nadhani waliweka papaiMadaktari waliweka nini mbadala sehemu iliyokuwepo akili yako
Sijakuelewa mkuu niwe objective kivipi!?Unaandika ukiwa wapi ,jaribu kuwa objective
USSR
Mwambie ukweli huyu pimbi hajielewi kabisa!Madaktari waliweka nini mbadala sehemu iliyokuwepo akili yako
Aaah wapi, Tz hakuna makundi aina hiyo ila Kuna makundi maslahi tu nyakati za uchaguzi Kisha baadae hutowekaMakundi hasimu mawili yakichagizwa na ukabila yanapambana mitaani lile linalomuunga mkono Shekhe Hazina na lile linalompinga yanapambana katikati ya jiji lenye watu wengi sana kieneo la Dhaka.
Wahindu na waislam wanapambana kila mmoja akijiona kundi lake ndio linafaa kutawala .
Hili ni somo kwa wabongo siku CCM ikitoka madarakani
USSR
Somo gani ?Makundi hasimu mawili yakichagizwa na ukabila yanapambana mitaani lile linalomuunga mkono Shekhe Hazina na lile linalompinga yanapambana katikati ya jiji lenye watu wengi sana kieneo la Dhaka.
Wahindu na waislam wanapambana kila mmoja akijiona kundi lake ndio linafaa kutawala .
Hili ni somo kwa wabongo siku CCM ikitoka madarakani
USSR
MaviMadaktari waliweka nini mbadala sehemu iliyokuwepo akili yako
Waliweka maviNadhani waliweka papai
Acha uongo inawaka moto wapi?Makundi hasimu mawili yakichagizwa na ukabila yanapambana mitaani lile linalomuunga mkono Shekhe Hazina na lile linalompinga yanapambana katikati ya jiji lenye watu wengi sana kieneo la Dhaka.
Wahindu na waislam wanapambana kila mmoja akijiona kundi lake ndio linafaa kutawala .
Hili ni somo kwa wabongo siku CCM ikitoka madarakani
USSR
Weng hawaoni chadema wanachotka FanyaChadema wanajaribu mara kadhaa kuchochea vita, lakini dola iko makini kuwazuia, na wananchi wanawagomea