Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
Dhamana huwa inarudi mkuu lengo pale kutaka dhamani kubwa iwe fedha au hati ya nyumba ili mtuhumiwa asiweze kukimbia na wewe mdhamini uwe ndiyo mchungaji mkuu badala ya magereza. Akikimbia tu inakula kwako wewe mdhamini.
milion 20lulu vp bond yake ni how much. naweza mtolea, ila ahamie kwangu ili niwe namu watch asi kimbie