Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
Habari wanajanvi. Ningependa kujua kama dhamana ile ambayo inatolewa mahakaman kwa minajil ya kumwachia mfungwa kwa muda, hv huwa inarudi baada ya kesi kupata hukumu? Au huwa hairudi? Kwa mfano m2 kaambiwa aweke dhamana ya pesa ya mil 1 mwisho wa siku mahakama inarudisha ile pesa?