Mara nyingi nikiskia WAKILI MSOMI anakuwa wa private! Vipi wakili wa serikali? Mfano: WAKILI MSOMI WA SERIKALI...?
Mkuu. Ningepata kwanza majibu ya maswali yangu ingefaa sana. Kisha tungerudi kwenye hizo hoja zako.
Tafadhari kama iko ndanii ya taaluma yako.okoa jahazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado wako mahakamani. Subiri mida ya mahakama ikishapita watakuja kutoa majibu.
Bado wako mahakamani. Subiri mida ya mahakama ikishapita watakuja kutoa majibu.
Sent using Jamii Forums mobile app