Dhamana:lazima awe mfanya kazi wa serikali.

Dhamana:lazima awe mfanya kazi wa serikali.

mwanadome

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
4,950
Reaction score
5,317
Salaam.

Wataalam wa sheria naombeni ufafanuzi wa kisheria juu ya makosa yenye dhamana, kuwepo sharti la kua na mdhamini ambae ni mfanya kazi wa serikali.

Je Hilo sharti lipo kisheria?,kama lipo ni kwa aina gani. ? ya makosa. ? .

Shurkan.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom