Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajapewa,ila Mungu aliamua kumuachia uwezo wote aliokuwa nao before (Isipokuwa utukufu)ili yeye Mungu baba abaki katika SAFE SIDE..kifo cha YESU msalabani kilibadilisha yote...Mamlaka yotee yalihamia kwake,na ndo maana anasema "NIMEPEWA MAMLAKA YOTE MBINGUNI NA DUNIANI"Ila kapewa cheo cha ukuu wa anga na mamlaka pia
Unaikumbuka vema habari ya Ayubu?Hajapewa,ila Mungu aliamua kumuachia uwezo wote aliokuwa nao before (Isipokuwa utukufu)ili yeye Mungu baba abaki katika SAFE SIDE..kifo cha YESU msalabani kilibadilisha yote...Mamlaka yotee yalihamia kwake,na ndo maana anasema "NIMEPEWA MAMLAKA YOTE MBINGUNI NA DUNIANI"
Hakuna mada za kipuuzi humu JF za mshana Jr.
Mwanzoni, nilikuwa interested kuzifatilia, kuona kama kuna cha maana cha kujifunza, but I'm sorry, they are typicaly silly topics in all aspects
Kwa kutumia hiyo sayansi uliyoisoma ebu nitajie hormone na mechanism yake inayofanya kazi ya kustimulate anus kutumika.! ukikosa jibu basi jitafakari ulidanganywa wapi..Tunaisoma sayansi ni tofauti na mnavyoamini ushoga ni maumbile kama mtu anavyozaliwa albino ni kilema kile hakupenda Ila hormones ni za kike umbile la kiume
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji109][emoji115][emoji123]Kwa kutumia hiyo sayansi uliyoisoma ebu nitajie hormone na mechanism yake inayofanya kazi ya kustimulate anus kutumika.! ukikosa jibu basi jitafakari ulidanganywa wapi..
Pole sana muumini wa kemeo la hii mada.eidha ni muumini wa vitendo au muumini wa maneno tu(yaani unafagilia).Hakuna mada za kipuuzi humu JF za mshana Jr.
Mwanzoni, nilikuwa interested kuzifatilia, kuona kama kuna cha maana cha kujifunza, but I'm sorry, they are typicaly silly topics in all aspects
Ahahahhahahahhhaa umenena vizuri sana mkuuKwa kutumia hiyo sayansi uliyoisoma ebu nitajie hormone na mechanism yake inayofanya kazi ya kustimulate anus kutumika.! ukikosa jibu basi jitafakari ulidanganywa wapi..
sio kweli mshana ni mtu makini sana ,niwe shuhuda kina mambo mwenye maisha amewahi kuwa suluhu langu binafsi,tatizo nilimuona nalo siku za karibuni amekuwa sided kikristo sana ,hafikiri kwa Uhuru kama zamani,pia ameannza kuwa na mipaka ya kuhoji ,lakini ukitoa ya dini huko poa sanaHakuna mada za kipuuzi humu JF za mshana Jr.
Mwanzoni, nilikuwa interested kuzifatilia, kuona kama kuna cha maana cha kujifunza, but I'm sorry, they are typicaly silly topics in all aspects