Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Mungu alitoa SHARTI LA KUTOGEUKA NYUMA.

Leo mganga leo watu wakisikia umepewa masharti ya KUTOGEUKA nyuma utasikia USHIRIKINA[emoji23]

Sent from my itel W5504 using JamiiForums mobile app
 
Naunga hoja, pili nashangaa watu wanafanya huo usodoma na bado Mungu amewaacha wanadhani kawaida, japo watu wanasema dhambi zote ni sawa si kweli kwani kufanya huo ufusika ni zaidi ya dhambi kwani ni kufuru
 
Uzi mzr sana!
 
Watu wanaona sifa... Mpaka vikaragosi wanachora
Naunga hoja, pili nashangaa watu wanafanya huo usodoma na bado Mungu amewaacha wanadhani kawaida, japo watu wanasema dhambi zote ni sawa si kweli kwani kufanya huo ufusika ni zaidi ya dhambi kwani ni kufuru
 
cc: Masheikh wote duniani
 
Kinyesi sio uchafu ni mabaki tu ya chakula ambcho ulikila lakini hakijamengenywa vizuri.
Kuna virutubisho vingi sana ktk kinyesi ndo maana tunatumia kinyesi cha wanyama kama mbolea kuotesha mazao mbali mbali.
 
Haya pia ni matumizi

huo ndo mchezo wake huyo kaumia ulivyolizungumzia swala linalo mgusa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shetani alikuwa malaika baada ya kuasi akawa shetan JINA LA SHETANI NANI ALIMPA ... kwanini jina la shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…