Dhambi gani ambayo mwanadam akifanya hata shetani hushangaa na kumuogopa mtu huyo?

Dhambi gani ambayo mwanadam akifanya hata shetani hushangaa na kumuogopa mtu huyo?

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
726
Reaction score
476
Rejea kichwa cha habari husika....
mm binafsi watu wa jinsia moja wakifanya mapenzi hadi shetani huogopa na kujificha ......
Tupe wewe dhambi unayoijua....
 
Dhambi ni dhambi, hakuna dhambi kubwa au ndogo kuliko nyingine. Na wala shetani awezi kushangaa na hata weza kushangaa maana ndiye mwanzilishi. Bali hufurahi unapoyenda dhambi maana utakuwa wakati wa kiama.
 
Rejea kichwa cha habari husika....
mm binafsi watu wa jinsia moja wakifanya mapenzi hadi shetani huogopa na kujificha ......
Tupe wewe dhambi unayoijua....
Na shetani angekuwa muanzilishi wa ushoga nadhani angemfuata Adam!!!!!!
 
Kwani shetani yupo na ulishawahi kumwona na anajishugurisha na nini
 
Dhambi ni dhambi, hakuna dhambi kubwa au ndogo kuliko nyingine. Na wala shetani awezi kushangaa na hata weza kushangaa maana ndiye mwanzilishi. Bali hufurahi unapoyenda dhambi maana utakuwa wakati wa kiama.
Hivi dhambi ya kuiba fedha za wananchi kupitia Escrow na dhambi ya kutokwenda kanisani au msikitini siku moja ipi kubwa?
 
Kuaminisha watu kuwa ungeweza kuufuta Umaskini wa watu wa karne 20 kwa siku mia moja tu!
 
Back
Top Bottom