Dhambi gani ambayo mwanadam akifanya hata shetani hushangaa na kumuogopa mtu huyo?

Dhambi gani ambayo mwanadam akifanya hata shetani hushangaa na kumuogopa mtu huyo?

Kasome.maandiko Mwanzo, njisi shetani alivyomshawishi Hawa na Adamu katika bustani ya edeni. Utapata majibu yote,
Hakuna bhana niwao wenyewe na viherehere vyao vya kujifanya wanajua..

Unajua binadamu tunafanya makusudi huku tukitafuta na sababu ya kujitetea ili kupunguza mzigo
 
Dhambi ni dhambi, hakuna dhambi kubwa au ndogo kuliko nyingine. Na wala shetani awezi kushangaa na hata weza kushangaa maana ndiye mwanzilishi. Bali hufurahi unapoyenda dhambi maana utakuwa wakati wa kiama.
Dhambi zinazidiana mkuu kuna kubwa na ndogo, dhambi y kutukana haiwezi ikawa sawa na muuwaji
 
Kauli ya rais kutaka tuishi kama shetani nadhani ndio imemuogopesha kabisa shetani.
Naamini kwa dhati kabisa kwamba hajui dhana nzima ya shetani katika uhalisia wake
Shetani ni mtu wa kula bata sana
 
Naamini kwa dhati kabisa kwamba hajui dhana nzima ya shetani katika uhalisia wake
Shetani ni mtu wa kula bata sana
sasa baba Jesca mbona halijui hilo? Au amekariri hadithi za utotoni shetani ni jitu baya lenye maisha mabaya?
 
Tanzania pakipostiwa kitu chochote lazima watu katika maoni yao neno [color]CCM[/green] walitumie na ndo utagundua tulivyokuwa tunaishi kwa mazoea
 
Dhambi yakupandisha vigezo wenzio wasisome wakati wewe umesoma kwa kuunga unga kuzidi wao usiotaka wasome kwa kuwapandishia GPA
 
Rejea kichwa cha habari husika....
mm binafsi watu wa jinsia moja wakifanya mapenzi hadi shetani huogopa na kujificha ......
Tupe wewe dhambi unayoijua....
Shetani ni mambo ya kusadikika tu,kama kuna mtu aliyewahi kumuona shetani atwambie,
 
Dhambi nyingine ni kuumiza watu vichwa kwa kuwapa kalenda za uongo watu wanaotaka kuapply vyuo hii hshetani akiona hujificha na kulia mwenyewe
 
Back
Top Bottom