JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 476
Ulishawahi kumuona shetani?Rejea kichwa cha habari husika....
mm binafsi watu wa jinsia moja wakifanya mapenzi hadi shetani huogopa na kujificha ......
Tupe wewe dhambi unayoijua....
Rejea kichwa cha habari husika....
mm binafsi watu wa jinsia moja wakifanya mapenzi hadi shetani huogopa na kujificha ......
Tupe wewe dhambi unayoijua....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuishabikia CCM nadhani dhambi hii shetani mpaka anashangaa
Kweli kabisaudikteta uchwara
Na shetani angekuwa muanzilishi wa ushoga nadhani angemfuata Adam!!!!!!Rejea kichwa cha habari husika....
mm binafsi watu wa jinsia moja wakifanya mapenzi hadi shetani huogopa na kujificha ......
Tupe wewe dhambi unayoijua....
Hivi dhambi ya kuiba fedha za wananchi kupitia Escrow na dhambi ya kutokwenda kanisani au msikitini siku moja ipi kubwa?Dhambi ni dhambi, hakuna dhambi kubwa au ndogo kuliko nyingine. Na wala shetani awezi kushangaa na hata weza kushangaa maana ndiye mwanzilishi. Bali hufurahi unapoyenda dhambi maana utakuwa wakati wa kiama.