Ha ha haUlishawahi kumuona shetani?
Ha ha ha
kuna mtu humu aliletaga picha za shetani sijui ndo yeye..🙁🙁
Humo ndani anakaa sehemu gani..?View attachment 379509View attachment 379510wengi hatujui kuwa shetani hatishi wala hana sura mbaya
Shetani ni mzuri
Shetani anavutia shetani anahamasisha
Shetani ana akili sana
Shetani ni mcheshi na ana ushawishi mkubwa sana
Shetani yuko ndani yetu
Zote sawa, hakuna kubwa kuliko nyingine. Yesu alisema, waliwambia msizieni nami nawaambieni kila amtazamae mwanamke na kumtani moyoni mwake amekwisha zini nae.Hivi dhambi ya kuiba fedha za wananchi kupitia Escrow na dhambi ya kutokwenda kanisani au msikitini siku moja ipi kubwa?
Kuishabikia CAM nadhani dhambi hii shetani mpaka anashangaa
Mkuu bila shaka ww umewahi kudanganya, Umewahi kuzini, umewahi kutukana je, wakat unafanya yote hayo uliwahi kumwona shetan akiwa anakushawishi ufanye?Dhambi ni dhambi, hakuna dhambi kubwa au ndogo kuliko nyingine. Na wala shetani awezi kushangaa na hata weza kushangaa maana ndiye mwanzilishi. Bali hufurahi unapoyenda dhambi maana utakuwa wakati wa kiama.
Huwa anaogopa? Ameshindwa kumuogopa Mungu aliemuumba (vitabu vya dini vinalonga) , sembuse vijidhambi uchwara hivyo...Rejea kichwa cha habari husika....
mm binafsi watu wa jinsia moja wakifanya mapenzi hadi shetani huogopa na kujificha ......
Tupe wewe dhambi unayoijua....
Mkuu vipi hebu nitumie ile namba maana nilipoteza kilongalongakuwa mbahili aiseee
pouwa ngja nikurushieMkuu vipi hebu nitumie ile namba maana nilipoteza kilongalonga
Kasome.maandiko Mwanzo, njisi shetani alivyomshawishi Hawa na Adamu katika bustani ya edeni. Utapata majibu yote,Mkuu bila shaka ww umewahi kudanganya, Umewahi kuzini, umewahi kutukana je, wakat unafanya yote hayo uliwahi kumwona shetan akiwa anakushawishi ufanye?
Tuache visingizio