Hakuna bhana niwao wenyewe na viherehere vyao vya kujifanya wanajua..Kasome.maandiko Mwanzo, njisi shetani alivyomshawishi Hawa na Adamu katika bustani ya edeni. Utapata majibu yote,
Dhambi zinazidiana mkuu kuna kubwa na ndogo, dhambi y kutukana haiwezi ikawa sawa na muuwajiDhambi ni dhambi, hakuna dhambi kubwa au ndogo kuliko nyingine. Na wala shetani awezi kushangaa na hata weza kushangaa maana ndiye mwanzilishi. Bali hufurahi unapoyenda dhambi maana utakuwa wakati wa kiama.
Naamini kwa dhati kabisa kwamba hajui dhana nzima ya shetani katika uhalisia wakeKauli ya rais kutaka tuishi kama shetani nadhani ndio imemuogopesha kabisa shetani.
Kote koteHumo ndani anakaa sehemu gani..?
Mungu wanguBila kusahau akiiona avater hii pia atahamaki kama si kushangaa
View attachment 379529
sasa baba Jesca mbona halijui hilo? Au amekariri hadithi za utotoni shetani ni jitu baya lenye maisha mabaya?Naamini kwa dhati kabisa kwamba hajui dhana nzima ya shetani katika uhalisia wake
Shetani ni mtu wa kula bata sana
Kitu chochote? Are you sure?Tanzania pakipostiwa kitu chochote lazima watu katika maoni yao neno [color]CCM[/green] walitumie na ndo utagundua tulivyokuwa tunaishi kwa mazoea
kwani haiingii?Kuingiliana kinyume na maumbile yani hii shetani huogopa
Shetani ni mambo ya kusadikika tu,kama kuna mtu aliyewahi kumuona shetani atwambie,Rejea kichwa cha habari husika....
mm binafsi watu wa jinsia moja wakifanya mapenzi hadi shetani huogopa na kujificha ......
Tupe wewe dhambi unayoijua....