Dhambi ya asili ni nini?

Dhambi ya asili ni nini?

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
5,566
Reaction score
5,477
DHAMBI YA ASILI NI NINI?
1) ... Ni kujamiiana labda?
lakini mbona tumeambiwa tuzaane tuijaze dunia? ... sasa tunazaanaje bila ngono?
.
.
.
NATAFUTA BADO!
...lakini Katika kufikiria kidogo ninaona kama nimepata jibu, ... kwamba labda suala zima la KUUA NA KULA VIUMBE WENZETU NDIYO IKAWA DHAMBI YENYEWE YA ASILI,
... KWAMBA KULAZIMIKA KUKATISHA UHAI WA WENGINE ILI SISI TUENDELEE KUWA NA AFYA NI DHAMBI KUBWA!
(KWENYE BUSTANI YA EDEN MUNGU ALITURUHUSU KULA MATUNDA TU!)
MAONI TAFADHALI!
 
Dhambi ni kuto kumtii mungu uku ukiwa na akili timamu...hakuna dhambi ya asili ambayo yesu alisulibiwa kwa ajili yake...wakristo wa sasa ni waongo sana
 
Dhambi ya asili ilibebwa na Adamu baada ya kutomtii Mungu.Hivyo binadamu waliiozaliwa naye walibeba dhambi iliyokuwa imefanywa na Adamu.Mungu hana shida kuzaana kwa binadamu kama tungelikuwa katika utawala wake.
 
Dhambi ya asili ilibebwa na Adamu baada ya kutomtii Mungu.Hivyo binadamu waliiozaliwa naye walibeba dhambi iliyokuwa imefanywa na Adamu.Mungu hana shida kuzaana kwa binadamu kama tungelikuwa katika utawala wake
Dhambi ya asili ilibebwa na Adamu baada ya kutomtii Mungu.Hivyo binadamu waliiozaliwa naye walibeba dhambi iliyokuwa imefanywa na Adamu.Mungu hana shida kuzaana kwa binadamu kama tungelikuwa katika utawala wake.
Siyo kweli wakristo mmepotoshwa na madhehebu yenu ya dini ...adam na hawa wawakufanya dhambi ya asili ...hakuna dhambi ya asili nimefafanua vizuri hapo dhambi ni nini umeshindwa kutuliza akili kutumia hiyo fafanuzi niliyo kupa ...kuwa dhambi ni kutokumtii mungu ukiwa na akili timamu(kujua mema na mabaya) kama ujaelewa naweza kuendelea kukuthibitishia kwenye hayo hayo maandiko...dhambi ya kwanza siyo kula tunda ...tumia akili akili akili
 
Nanukuu:
"dhambi ni kutokumtii mungu ukiwa na akili timamu" (hii ni 100% correct.)
Mkuu; Hapo 👆👆 Umemaliza. Ila Ck nyingine uwe unaandika Mungu na sio kuandika mungu.
 
Siyo kweli wakristo mmepotoshwa na madhehebu yenu ya dini ...adam na hawa wawakufanya dhambi ya asili ...hakuna dhambi ya asili nimefafanua vizuri hapo dhambi ni nini umeshindwa kutuliza akili kutumia hiyo fafanuzi niliyo kupa ...kuwa dhambi ni kutokumtii mungu ukiwa na akili timamu(kujua mema na mabaya) kama ujaelewa naweza kuendelea kukuthibitishia kwenye hayo hayo maandiko...dhambi ya kwanza siyo kula tunda ...tumia akili akili akili
Nanukuu:
"Siyo kweli wakristo mmepotoshwa na madhehebu yenu ya dini ...adam na hawa wawakufanya dhambi ya asili ...hakuna dhambi ya asili."
Wakristo wamepotoshwaje na madhehebu yao ya dini? Ukifuatilia kwa undani utagundua hapo ni tatizo la lugha ya Kiswahili. e.g. Utatafsirije hii "The Natural Laws of Humankind" kwa Kiswahili? Utaona kwamba lengo la madhehebu ya Wakristo halikuwa Kupotosha bali lilikuwa ni kuweka bayana kama ulivyosema Kujua mema na mabaya.
 
Madhehebu ya dini msingi wake ni siasa chafu na mafundisho yenye kumpendeza mwanadamu siyo Mungu
 
Dhambi ya asili ilibebwa na Adamu baada ya kutomtii Mungu.Hivyo binadamu waliiozaliwa naye walibeba dhambi iliyokuwa imefanywa na Adamu.Mungu hana shida kuzaana kwa binadamu kama tungelikuwa katika utawala wake.
Naendelea kukufundisha ukweli usio weza kuupata makanisani adam na hawa awakupata dhambi yoyote kwa kula tunda ....tumia akili utagundua ni kwanini awakupata dhambi yoyote japo awakumtii mungu ?na hapo ndipo ulipo uongo wa wanaodai kuna dhambi ya asili
 
Back
Top Bottom