Kosa kubwa wanalofanya hao wanaomwaga fedha kununua waandishi ni kusahau ukweli kwamba unaponunua "huduma" bila risiti ni rahisi kwa muuzaji kukukana baadae kwamba hakutambui.Yaani hao mapaparazi wanaweza kula hizo fedha za bure then wakawageuka waliotoa fedha hizo bila hofu yoyote ya kufikishwa kwenye vyombo vya sheria.
Tatizo la pili ni kuzidiana dau.Unamnunua mwandishi kwa milioni moja,kesho ananunuliwa na mtu mwingine kwa milioni 2.Mkizidi kupandishiana dau,huyo mwandishi anageuka kuwa useless kwani badala ya kusaka habari anajikuta yuko busy kusubiri "leo dau limepanda kiasi gani"
Anyway,wajinga ndio waliwao ila piga garagaza mamvi na muirani wake wamekwisha.
By the way,kuna gazeti jipya liitwalo TAIFA TANZANIA linaloongozwa na PRINCE BAGENDA....lilipaswa kutoka Ijumaa ya wiki hii lakini huenda likakwamishwa na kimeo cha moto hapo Co-op Buliding Lumumba ambako ofisi za gezeti hilo zimeteketea.Still unknow,owners ni nani lakini HISTORIA YA BAGENDA ( kama ilivyo kwa BALILE,SALVA RWEYEMAMU na GIDEON SHOO) inaonyesha kuwa ni miongoni mwa wale wanaoweza kuitwa JOURNALISTIC PROSTITUTE;Give them money,and they could easily deliver their parents' heads in mfuko wa rambo.Kwa vyovyote vile atakuwa ameshanunuliwa na mtu flani.
Msimu wa ulaji (election 2010) unawajia kwa kasi.