Dhambi ya utumwa nchini Libya

Walibya wengi waliwasaidia hawa wauaji kumuua Gadaf sasa hivi hali ni mbaya sana
 
Watu wengi hawapendi kushughulisha bongo zao.. Wengi wanapenda habari nyepesi za kipuuzi. Mwandishi amefanya kazi ya kusoma na kutafsiri anastahili pongezi zake
GuDume, nikiri kuwa nilikuwa nikiona bandiko lako lako si somi kutokana na mabandiko yako ya huko nyuma yasiyo eleweka wala maana yeyote lkn hapa naona umenishawishi
 
Mtoa Maada umeeleza vizuri sana, lkn kuna sehemu kama sijakosea umesema mwaka huu June hawa HoR walimtoa mtoto wa Gaddafi hapa nadhani unamaanisha mwaka ulio pita au mwezi umeokosea
 
Mtoa Maada umeeleza vizuri sana, lkn kuna sehemu kama sijakosea umesema mwaka huu June hawa HoR walimtoa mtoto wa Gaddafi hapa nadhani unamaanisha mwaka ulio pita au mwezi umeokosea

Ni makosa madogo tu Chief pamoja
 
Kama utumwa ni laana mbona wazungu Mungu kawabariki sana.

Na hata kwenye biblia hujasoma sehem unaambiwa kijakazi?
 
Kama utumwa ni laana mbona wazungu Mungu kawabariki sana.

Na hata kwenye biblia hujasoma sehem unaambiwa kijakazi?
Soma vizuri kaka kuna laana na dhambi

Kisha ukishaelewa ondoa fikira za kidini
 
GuDume, nikiri kuwa nilikuwa nikiona bandiko lako lako si somi kutokana na mabandiko yako ya huko nyuma yasiyo eleweka wala maana yeyote lkn hapa naona umenishawishi

@gui1ni ngumu sana kuelewa threads zangu kutokana na aina ya uwasilishaji na maneno ninayotumia. Some smart people do understand my threads. Kuna jamaa mmoja alichukua two weeks kuja kuelewa thread yangu flan.... Alikuwa muungwana akawasiliana nami inbox na kuomba msamaha kuwa beore ali react pasipo kusoma kwa kutumia akili.ila kuna siku alikuwa ametulia akaona asome tena ile thread. Alishangaa ujumbe wa mle ndani ambayo ulikuwa kama dhahabu iliyofichwa kwenye donge la udongo.

So kwa kweli wala siwezi kukulaumu... Wengine huchukua hata mwaka au miaka kuelewa.but for smart people huelewa haraka. Ukikaa ukafikiri utagundua hakuna thread ya kipuuzi hata moja. Kila thread ina jambo kubwa la kujifunza
gundua
 
Yaan hawa wazungu wanadhambi kubwa sana dhidi ya Africa hawa mbinguni watakuwa kuni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…