Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Tumehubiriwa sana kuhusu dhambi ya zinaa,ngono uzinzi,na uasherati.Wachungaji wengi hawafundishi kwa kina dhambi hii kwa sababu wao wenyewe inawagusa. Matokeo yake Wakristo hupata ufahamu mdogo na wa juu juu na kujiona wako salama na kumbe wamepotea km watu wa mataifa. Ndio maana kuna msemo " Garbage in garbage out". Injili ikihubiriwa vizuri bila kupindisha au kuficha ficha wengi hatuko salama.
Dhambi ya zinaa ni dhambi iliyofunga na kuwapoteza watu wengi bila kujali umri,cheo au jinsi.Shetani ameificha dhambi hii kwa kuifanyia "camouflage", kwa namna mbali mbali mfano kutoa tafisiri za uongo na kufanya kampeni za kuhalalisha ngono na kuonekana ni kitu cha kawaida watu kufanya bila utaratibu.
Yafuatayo ni matendo( dhambi za kingono)ambazo km ulifanya/unafanya ukifa bila kutubu adhabu yake ni jehanamu kwenye chumba cha uzinzi,uasherati na ngono.
1. Kufanya ngono kabla ya ndoa.Hata km mlikuja kuoana baadae km hamjatubu dhambi mliyoifanya adhabu yenu ipo pale pale na mtahukumiwa wote 2 baada ya kifo. Mpango wa Mungu si watu kufanya tendo kabla ya ndoa.Hivyo mnapofunga ndoa baadae, je mlitubu kosa lenu mbele ya mtumishi wa Mungu na kutoa sadaka ya hatia?
2. Kufanya ngono nje ya ndoa. Kwasasa hili nalo ni janga.
3. Kuzaa kabla ya ndoa. Hata km mlikuja kuoana baadae km hamkutubu kupitia maombi ya utakaso, dhambi hiyo ipo pale pale.Ndoa yenu haihalalishi zinaa mliyoifanya hapo kabla.
4. Kuoa au kuolewa ukaachika/ kuacha na kuoa/ kuolewa tena.
5. Kuwa na wapenzi/wake wengi.
6. Kufanya mapenzi katika ndoto. Watu wengi wameweza kuishinda zinaa ya mwili ya kawaida. Lakini Shetani amewafata na kuzini nao katika ndoto na hata kufunga ndoa za kijini na jini mahaba. Kiroho hii ni zinaa km zinaa zingine. Tuwe macho hasa kufanya maombi kabla ya kulala.
7. Kumtamani mwanamke kwa kumtazama
8.Kuwaza waza kufanya ngono( Kuwaka tamaa ovyo)
9. Kuongea maneno ya kushabikia ngono.Matendo 4:23 Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima".
10. Kujichua (Masterbation)
11. Mapenzi ya jinsia moja. Walawi 20:10-21
12. Kufanya mapenzi kinyume na maumbile hata km ni kwa mkeo. Walawi 20:10-21
13. Kufanya mapenzi na mnyama. Walawi 20:15-16
14. Kufanya ngono na ndugu yako. Walawi 20:17-21
15. Kuangalia picha za ngono.Hata km umeacha je umetubu? Lazima ufanye maombi ya toba yaliyoambatana na sadaka ya hatia.
16. Wanaotumia kondom hata km wameoana bado ni dhambi.
17. Kufanya mapenzi kwa njia ya mdomo.
18. Kuchezea utupu wako au wa mtu mwingine kwa vidole. Ni chukizo mbele za Mungu.
19. Wanaotumia vidonge au vijiti vya kuzuia mimba
20. Kutoa mimba.
NB:Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Kila tendo tunalolifanya linarekodiwa katika ulimwengu wa roho( Kuzimu na mbinguni). Ukifa kuzimu wanatoa hesabu ya matendo yako. Km ulifanya dhambi na ukatubu rekodi ya mbinguni itaonyesha na utawekwa huru na kwenda kwenye umilele wa mbinguni. Kinyume chake ni kwenda kwenye umilele wa Jehanamu.
Km umefanya zambi hizo au moja ya dhambi hizo inabidi utubu na kufanya maombi ya kukombolewa ukiambatanisha na sadaka ya hatia.
Neno la Mungu linasema:-
"Basi, tubia uovu wako huu, ukamwombe Bwana, ili kama yamkini, usamehewe fikira hii ya moyo wako".Matendo 8:22.
Mungu awabariki na atusamehe makosa yetu. Nawatakia Jumapili njema yenye baraka tele.