Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Je ukifanya bila kukusudia? Na unaifahamu amri kuu iliyosemwa na Yesu mwenyewe inasemaje?Kila kilichokatazwa au kuonywa katika Biblia ni dhambi na Binadamu hatakiwi kufanya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je ukifanya bila kukusudia? Na unaifahamu amri kuu iliyosemwa na Yesu mwenyewe inasemaje?Kila kilichokatazwa au kuonywa katika Biblia ni dhambi na Binadamu hatakiwi kufanya.
Uzinzi ni kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa, mtu ameoa/ameolewa akichepuka anafanya uzinzi.Zinaa ni matendo yote yanayouchafua mwili . Mfano ndoto za usiku( Wet dreams) ni zinaa.Kuramba au kuchezea nyeti ni zinaa
Ngono. Kufanya tendo kati mwanaume na mwanamke lakini inaenda hadi kwa wanyama Hata kuingilia wanyama.
Uzinzi.Kufanya mapenzi kabla ya ndoa
Uasherati.Kufanya mapenzi nje ya ndoa
Ni kawaida ya mwanadamu kutaka uhuru uliopitiliza.Usiwaze acha tuachane na tafsiri ya dhambi ya kibblia/kivitabu
Twende na hii hapa ya kisaikolojia na kichawi zaidi; Dhambi ni tukio lolote unalofanya na kumuumiza mtu mwingine. Dhambi kubwa ni pale unapomuumiza mtu aliyekuamini [na kukupenda]. Kadri unavyokusudia ndivyo inavyozidi kuwa dhambi. Ukifanya bila utashi hata kama ni kosa kweli haliwezi kuwa fulu dhambi.
Mfano hapo mke amekuamini na anakupenda halafu wewe ukamsaliti akaumia, au kutokana na matakwa yako binafsi ya utalii/adventure ukamgeuza jambo ambalo linamuumiza kiafya hizi kweli zinakuwa dhambi kubwa. So hata kama ngono ipo nature angalia usimuumize mwingine, tena zaidi usimuumize anayekuamini na kukupenda hata kama huamini Mungu amini kwamba nature yenyewe haipendi matukio kama hayo. Ndiyo maana kuna karma.
Tafsiri yako ipo kinyumeUzinzi ni kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa, mtu ameoa/ameolewa akichepuka anafanya uzinzi.
Uasherati ni kufanya tendo la ndoa kabla ya kuingia kwenye ndoa.
Ninachoona, hakuna atakayebaki. Wote tumekwisha, japo Mungu nae atakuwa na mengi ya kutujibu hiyo siku.
Watu wanampangia MUNGU namna ya kutafsiri dhambi na kutoa hukumu kwa maslahi binafsi.Uzinzi ni kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa, mtu ameoa/ameolewa akichepuka anafanya uzinzi.
Uasherati ni kufanya tendo la ndoa kabla ya kuingia kwenye ndoa.
Ninachoona, hakuna atakayebaki. Wote tumekwisha, japo Mungu nae atakuwa na mengi ya kutujibu hiyo siku.
Sawa mkuu.Tafsiri yako ipo kinyume
Sasa niambie katika amri 10 za Musa, ipi katika hizo ni kuvunja amri!?!Zinaa ni matendo yote yanayouchafua mwili . Mfano ndoto za usiku( Wet dreams) ni zinaa.Kuramba au kuchezea nyeti ni zinaa
Ngono. Kufanya tendo kati mwanaume na mwanamke lakini inaenda hadi kwa wanyama Hata kuingilia wanyama.
Uzinzi.Kufanya mapenzi kabla ya ndoa
Uasherati.Kufanya mapenzi nje ya ndoa
Wewe haya yote nani kakwambia kama siyo wazungu ambao kwa sasa hata wao hawaamini hayaTumehubiriwa sana kuhusu dhambi ya zinaa,ngono uzinzi,na uasherati.Wachungaji wengi hawafundishi kwa kina dhambi hii kwa sababu wao wenyewe inawagusa. Matokeo yake Wakristo hupata ufahamu mdogo na wa juu juu na kujiona wako salama na kumbe wamepotea km watu wa mataifa. Ndio maana kuna msemo " Garbage in garbage out". Injili ikihubiriwa vizuri bila kupindisha au kuficha ficha wengi hatuko salama.
Najitahidi kuwa makini hapa. Kuna kupitiwa, kuna kukosea na kuna kufanya dhambi.Ni kawaida ya mwanadamu kutaka uhuru uliopitiliza.
Mathayo 5:28 Yesu alisema
" Lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake." Je kwa kumtazama na kumtamani mwanamke ni wapi unakuwa umeumiza hisia zake? Kuwa makini ndugu!
Hahahah mkuu wewe huko mbinguni huendi?Mtafika huko Mbinguni mmechoka sana...
Ukiwauliza wanasayansi watakuambia "wet dreams"ni tendo la kibalojia. Lakini kiroho wet dreams ni matokeo ya jini mahaba ambae huja katika ndoto km msichana mrembo na kufanya tendo na kijana. Lengo ni kumchafua na kuvuna mbegu zinazohitajika katika ulimwengu wa kipepo kwa matumizi mbali mbali. Km kuna mganga au mchawi hapa atanielewa.Sasa niambie katika amri 10 za Musa, ipi katika hizo ni kuvunja amri!?!
Mtoto ana balehe anaota wet dreams katenda dhambi!?
Beberu walituweza Sana kutujia na hizi dini, kila kitu dhambi. Ukiota dhambi!?
We mpuuzi kweli eti wet dreams,, unaropoka tuZinaa ni matendo yote yanayouchafua mwili . Mfano ndoto za usiku( Wet dreams) ni zinaa.Kuramba au kuchezea nyeti ni zinaa
Ngono. Kufanya tendo kati mwanaume na mwanamke lakini inaenda hadi kwa wanyama Hata kuingilia wanyama.
Uzinzi.Kufanya mapenzi kabla ya ndoa
Uasherati.Kufanya mapenzi nje ya ndoa