Dhamira ya Inonga haikuwa nzuri

Dhamira ya Inonga haikuwa nzuri

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Rafu aliyofanyiwa Inonga na Haji Ugando ilikuwa kinga ya Haji Ugando dhidi ya Inonga. Kama Haji asingezuia mguu wa Inonga angeumia sana.

Inonga Hana tabia ya kujali afya za wachezaji wenzake anapotimiza majukumu yake. Kama sio kunyanyua mguu basi mguu wa Inonga ungefika kifuani kwa Ugando kama Yale yaliyompata sure boy kwa Inonga.

Wachezaji wapewe onyo, kucheza rafu ni dalili ya kushuka kiwango.
 
Sawa
 
Alishindwa kumkwepa Ila akamuwekea mguu?Kosa moja limehalalisha kosa lililofuata?🤔
 
Tuweke tupicha au tuvideo clip Mkuu.
 
Alishindwa kumkwepa Ila akamuwekea mguu?Kosa moja limehalalisha kosa lililofuata?🤔
Inonga anasifiwa kucheza vizuri kwakuwa haogopi miguu ya wachezaji wengine. Wachezaji wengine wanaamua kumwachia mpira kwakuhofia kuumizwa na Inonga. Yeye na onyango ndiyo aina ya michezo Yao uwanjani hadi onyango anaitwa nusu mtu nusu chuma. Inonga alikuwa anamchezea hivyo Mayelle, musonda, sure boy na forward wote wa timu pinzani. Ni wapuuzi kabisa kushindwa kuogopa miguu ya wengine.
 
Rafu aliyofanyiwa Inonga na Haji Ugando ilikuwa kinga ya Haji Ugando dhidi ya Inonga. Kama Haji asingezuia mguu wa Inonga angeumia sana.

Inonga Hana tabia ya kujali afya za wachezaji wenzake anapotimiza majukumu yake. Kama sio kunyanyua mguu basi mguu wa Inonga ungefika kifuani kwa Ugando kama Yale yaliyompata sure boy kwa Inonga.

Wachezaji wapewe onyo, kucheza rafu ni dalili ya kushuka kiwango.
Asee wewe ni mjinga
 
Pale alitaka kuzoa mpira na mguu wa Ugando pamoja bila kujali consequences zake. Ni upuuzi, na wote wanaomshabikia wanashabikia upuuzi. Ndo mana onyango alikuwa akioewa red cards na penati kwenye mashindano
 
Rafu aliyofanyiwa Inonga na Haji Ugando ilikuwa kinga ya Haji Ugando dhidi ya Inonga. Kama Haji asingezuia mguu wa Inonga angeumia sana.

Inonga Hana tabia ya kujali afya za wachezaji wenzake anapotimiza majukumu yake. Kama sio kunyanyua mguu basi mguu wa Inonga ungefika kifuani kwa Ugando kama Yale yaliyompata sure boy kwa Inonga.

Wachezaji wapewe onyo, kucheza rafu ni dalili ya kushuka kiwango.

Apply kuwa Kocha au refa kwa ujuaji huu.
 
Rafu aliyofanyiwa Inonga na Haji Ugando ilikuwa kinga ya Haji Ugando dhidi ya Inonga. Kama Haji asingezuia mguu wa Inonga angeumia sana.

Inonga Hana tabia ya kujali afya za wachezaji wenzake anapotimiza majukumu yake. Kama sio kunyanyua mguu basi mguu wa Inonga ungefika kifuani kwa Ugando kama Yale yaliyompata sure boy kwa Inonga.

Wachezaji wapewe onyo, kucheza rafu ni dalili ya kushuka kiwango.
Unajidhalilisha.... usidhan unasifika. Ficha upumbavu wako uheshimike kdg
 
acha kujifanya wewe ni mfalme Njozi,
 
Unajidhalilisha.... usidhan unasifika. Ficha upumbavu wako uheshimike kdg
Sitaki heshima ya kinafiki kutoka kwa wanafiki. Lomalisa amekanyagwa zaidi kuliko Inonga lakini husikii wanaoropoka kama mangungu.
 
Pika maharage dada,mpira hujacheza,pale angemkwepaje!?
Kuna watu wanaongelea mpira na wapo wanaongelea ushabiki wa timu zao TU, povu nyingi. Kama ukifanya utafiti kuhusu ligi yetu utagundua kuwa timu ndogo zinashindwa na timu kubwa sio kwasababu Zina wachezaji wabovu, bali Zina wachezaji ambao wanahofia kuumizwa na kuwaumiza wachezaji wa timu kubwa. Wachezaji wa timu hizi kubwa watauchukuwa na kucheza mpira bila kujali kuumizwa, kuumiza wala kupewa kadi (wanalindwa)
 
Back
Top Bottom