NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna uto mwenye akili.Rafu aliyofanyiwa Inonga na Haji Ugando ilikuwa kinga ya Haji Ugando dhidi ya Inonga. Kama Haji asingezuia mguu wa Inonga angeumia sana.
Inonga Hana tabia ya kujali afya za wachezaji wenzake anapotimiza majukumu yake. Kama sio kunyanyua mguu basi mguu wa Inonga ungefika kifuani kwa Ugando kama Yale yaliyompata sure boy kwa Inonga.
Wachezaji wapewe onyo, kucheza rafu ni dalili ya kushuka kiwango.
Inonga hajali miguu ya wenzie at all, ndio maana anapewa sifa za kijinga. Yaani pale alitaka kuuosha mpira pamoja na mguu wa mwenzake. Akasau kuwa muosha huoshwa, kwa ajali hii ambayo hakuna mtu mwenye akili timamu ataifurahia lakini kwa Inonga itakuwa ni awaking call juu ya afya yake na wengine pia.Aseee.....
Rafu unachezewa wewe, na lawama unapewa wewe.
MmInonga anasifiwa kucheza vizuri kwakuwa haogopi miguu ya wachezaji wengine. Wachezaji wengine wanaamua kumwachia mpira kwakuhofia kuumizwa na Inonga. Yeye na onyango ndiyo aina ya michezo Yao uwanjani hadi onyango anaitwa nusu mtu nusu chuma. Inonga alikuwa anamchezea hivyo Mayelle, musonda, sure boy na forward wote wa timu pinzani. Ni wapuuzi kabisa kushindwa kuogopa miguu ya wengine.
Unajiabisha......Inonga hajali miguu ya wenzie at all, ndio maana anapewa sifa za kijinga. Yaani pale alitaka kuuosha mpira pamoja na mguu wa mwenzake. Akasau kuwa muosha huoshwa, kwa ajali hii ambayo hakuna mtu mwenye akili timamu ataifurahia lakini kwa Inonga itakuwa ni awaking call juu ya afya yake na wengine pia.
Angalia uchezaji wa Inonga, Onyango na Mzamiru, hawa ni wababe sio kwamba waunajua mpira kivilee. Wanapogombea mpira ni lazima waupate kwa vyovyote vile bila kujali afya ya wengine, ndio maana Inonga, Onyango, Mzamiru wapo tu Tanzania, hakuna offer kutoka hata Djibuti inayowataka. Kama Inonga angekuwa anaujua mpira kivile hata timu za kaskazini zingeondoka nae kwa gharama yoyote ile, wachezaji wazuri wa DR Congo wako France, ni manung'ayembe tu.Unajiabisha......
Nani alitaka kuupiga mpira kwa kuvu nyingi kuliko mwenzake? Nguvu aliyotaka kuitumia kumuumiza mwenzake ndiyo hiyohoyo iliyotumika kujiumiza mwenyewe. Alichofanya Haji ni kuinua mguu TU.Nani aliye stretch mguu wake Zaid kuelekea kwa mwenzie ?