SawaRafu aliyofanyiwa Inonga na Haji Ugando ilikuwa kinga ya Haji Ugando dhidi ya Inonga. Kama Haji asingezuia mguu wa Inonga angeumia sana.
Inonga Hana tabia ya kujali afya za wachezaji wenzake anapotimiza majukumu yake. Kama sio kunyanyua mguu basi mguu wa Inonga ungefika kifuani kwa Ugando kama Yale yaliyompata sure boy kwa Inonga.
Wachezaji wapewe onyo, kucheza rafu ni dalili ya kushuka kiwango.
Alishindwa kumkwepa Ila akamuwekea mguu?Kosa moja limehalalisha kosa lililofuata?🤔Rafu aliyofanyiwa Inonga na Haji Ugando ilikuwa kinga ya Haji Ugando dhidi ya Inonga. Kama Haji asingezuia mguu wa Inonga angeumia sana.
Inonga Hana tabia ya kujali afya za wachezaji wenzake anapotimiza majukumu yake. Kama sio kunyanyua mguu basi mguu wa Inonga ungefika kifuani kwa Ugando kama Yale yaliyompata sure boy kwa Inonga.
Wachezaji wapewe onyo, kucheza rafu ni dalili ya kushuka kiwango.
Tuweke tupicha au tuvideo clip Mkuu.Rafu aliyofanyiwa Inonga na Haji Ugando ilikuwa kinga ya Haji Ugando dhidi ya Inonga. Kama Haji asingezuia mguu wa Inonga angeumia sana.
Inonga Hana tabia ya kujali afya za wachezaji wenzake anapotimiza majukumu yake. Kama sio kunyanyua mguu basi mguu wa Inonga ungefika kifuani kwa Ugando kama Yale yaliyompata sure boy kwa Inonga.
Wachezaji wapewe onyo, kucheza rafu ni dalili ya kushuka kiwango.
Inonga anasifiwa kucheza vizuri kwakuwa haogopi miguu ya wachezaji wengine. Wachezaji wengine wanaamua kumwachia mpira kwakuhofia kuumizwa na Inonga. Yeye na onyango ndiyo aina ya michezo Yao uwanjani hadi onyango anaitwa nusu mtu nusu chuma. Inonga alikuwa anamchezea hivyo Mayelle, musonda, sure boy na forward wote wa timu pinzani. Ni wapuuzi kabisa kushindwa kuogopa miguu ya wengine.Alishindwa kumkwepa Ila akamuwekea mguu?Kosa moja limehalalisha kosa lililofuata?🤔
Asee wewe ni mjingaRafu aliyofanyiwa Inonga na Haji Ugando ilikuwa kinga ya Haji Ugando dhidi ya Inonga. Kama Haji asingezuia mguu wa Inonga angeumia sana.
Inonga Hana tabia ya kujali afya za wachezaji wenzake anapotimiza majukumu yake. Kama sio kunyanyua mguu basi mguu wa Inonga ungefika kifuani kwa Ugando kama Yale yaliyompata sure boy kwa Inonga.
Wachezaji wapewe onyo, kucheza rafu ni dalili ya kushuka kiwango.
Rafu aliyofanyiwa Inonga na Haji Ugando ilikuwa kinga ya Haji Ugando dhidi ya Inonga. Kama Haji asingezuia mguu wa Inonga angeumia sana.
Inonga Hana tabia ya kujali afya za wachezaji wenzake anapotimiza majukumu yake. Kama sio kunyanyua mguu basi mguu wa Inonga ungefika kifuani kwa Ugando kama Yale yaliyompata sure boy kwa Inonga.
Wachezaji wapewe onyo, kucheza rafu ni dalili ya kushuka kiwango.
Ona alichofanya mpuuzi, alitaka kuondoa mpira bila kujali mguu wa Haji ugando. Haji Ugando tayari alikuwa na mpira lakini jamaa alikuwa anataka kukulubanya hivyohovyoApply kuwa Kocha au refa kwa ujuaji huu.
Unajidhalilisha.... usidhan unasifika. Ficha upumbavu wako uheshimike kdgRafu aliyofanyiwa Inonga na Haji Ugando ilikuwa kinga ya Haji Ugando dhidi ya Inonga. Kama Haji asingezuia mguu wa Inonga angeumia sana.
Inonga Hana tabia ya kujali afya za wachezaji wenzake anapotimiza majukumu yake. Kama sio kunyanyua mguu basi mguu wa Inonga ungefika kifuani kwa Ugando kama Yale yaliyompata sure boy kwa Inonga.
Wachezaji wapewe onyo, kucheza rafu ni dalili ya kushuka kiwango.
acha kujifanya wewe ni mfalme Njozi,Rafu aliyofanyiwa Inonga na Haji Ugando ilikuwa kinga ya Haji Ugando dhidi ya Inonga. Kama Haji asingezuia mguu wa Inonga angeumia sana.
Inonga Hana tabia ya kujali afya za wachezaji wenzake anapotimiza majukumu yake. Kama sio kunyanyua mguu basi mguu wa Inonga ungefika kifuani kwa Ugando kama Yale yaliyompata sure boy kwa Inonga.
Wachezaji wapewe onyo, kucheza rafu ni dalili ya kushuka kiwango.
Pika maharage dada,mpira hujacheza,pale angemkwepaje!?Alishindwa kumkwepa Ila akamuwekea mguu?Kosa moja limehalalisha kosa lililofuata?🤔
Kuna watu wanaongelea mpira na wapo wanaongelea ushabiki wa timu zao TU, povu nyingi. Kama ukifanya utafiti kuhusu ligi yetu utagundua kuwa timu ndogo zinashindwa na timu kubwa sio kwasababu Zina wachezaji wabovu, bali Zina wachezaji ambao wanahofia kuumizwa na kuwaumiza wachezaji wa timu kubwa. Wachezaji wa timu hizi kubwa watauchukuwa na kucheza mpira bila kujali kuumizwa, kuumiza wala kupewa kadi (wanalindwa)Pika maharage dada,mpira hujacheza,pale angemkwepaje!?