Dhamira ya Inonga haikuwa nzuri

Hakuna uto mwenye akili.
 
Aseee.....
Rafu unachezewa wewe, na lawama unapewa wewe.
Inonga hajali miguu ya wenzie at all, ndio maana anapewa sifa za kijinga. Yaani pale alitaka kuuosha mpira pamoja na mguu wa mwenzake. Akasau kuwa muosha huoshwa, kwa ajali hii ambayo hakuna mtu mwenye akili timamu ataifurahia lakini kwa Inonga itakuwa ni awaking call juu ya afya yake na wengine pia.
 
Mm
 
Unajiabisha......
 
Unajiabisha......
Angalia uchezaji wa Inonga, Onyango na Mzamiru, hawa ni wababe sio kwamba waunajua mpira kivilee. Wanapogombea mpira ni lazima waupate kwa vyovyote vile bila kujali afya ya wengine, ndio maana Inonga, Onyango, Mzamiru wapo tu Tanzania, hakuna offer kutoka hata Djibuti inayowataka. Kama Inonga angekuwa anaujua mpira kivile hata timu za kaskazini zingeondoka nae kwa gharama yoyote ile, wachezaji wazuri wa DR Congo wako France, ni manung'ayembe tu.
 
Mama yako kanipenda mwenyewe
 
Nani aliye stretch mguu wake Zaid kuelekea kwa mwenzie ?
 
Nani aliye stretch mguu wake Zaid kuelekea kwa mwenzie ?
Nani alitaka kuupiga mpira kwa kuvu nyingi kuliko mwenzake? Nguvu aliyotaka kuitumia kumuumiza mwenzake ndiyo hiyohoyo iliyotumika kujiumiza mwenyewe. Alichofanya Haji ni kuinua mguu TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…