#COVID19 Dhana mbalimbali zilizojengeka katika Jamii kuhusu maambukizi ya Virusi vya Corona

Status
Not open for further replies.
DHANA POTOFU KUHUSU CORONA: Virusi vya Corona havisambai kwenye hali ya hewa ya joto
WATENGENEZAJI WA HUYO KIRUSI PALE MAABARA, HAWAKUFANYA KWA BAHATI MBAYA HUO MPANGO. BALI WALIZIKUSUDIA NCHI ZOTE KISHA WAO WADHURIKE KIDOGO LAKN MAADUI ZAO WAPUPUTIKE. MATOKEO YAKE TUNAPUPUTIKA WENGINE HUKU HATA ELA YA SANITAIZA HATUNAGA!! ACHA TU MJOMBA
 
Utapukutika ww na familia yako..labd uniambie wewe ni muitaliano!
 
hawa wenzetu wana haki ya kumaliza CORONA kutoka Wagonjwa 15000 hadi mmoja na leo hakuna
sisi tujifungie tu majumbani maana tunao wa2 wa Arusha ambaye keshapona na mwingine Zanzibar wamekanusha na wasanii wa maigizo wa2 wanaleta utani
1584653216140.png
 
Don't trust Chinese , wasiliana na watu walioko china
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbali huko nimewasikia VOA, DW na vyanzo kibao hata Mohamedi Dewji MO

Mohammed Dewji MO

@moodewji

Alhamdulillah China yesterday reported no new local infections for the first time since the corona virus crises began 3 months ago. This is a fantastic milestone. May GOD protect us.
 
Yes this is true sababu Kama kwel virus Hawa wanapatikana mwenye popo basi joto huenda ikawa sum Yao sababu wote tunajua popo hawapend joto na jua ivyo hata viumbe vinavyo ish na popo lazima tabia ifanane
View attachment 1393106

Virusi vya Corona havisambai kwenye hali ya hewa ya joto

Mnamo Machi 9, 2020 Rais wa Marekani, Donald Trump alinukuliwa akisema kuwa Vurusi vya Maambukizi ya Corona vitakoma mwezi Aprili kwasababu Marekani kutakuwa na joto

Aidha, alinukuliwa akisema joto huua virusi vya maambukizi ya ugonjwa wa Corona.

Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani(WHO), Virusi vya Maambukizi ya Ugonjwa wa Corona vinauwezo wa kusambaa katika hali zote za hewa

WHO wanasema bado hakuna ushahidi kuwa Virusi vya Ugonjwa wa Corona ni vya msimu au hulipuka katika kipindi fulani cha majira ya mwaka

Corona huwaathiri wazee pekee yao

Dhana hii imejengeka miongoni mwa watu wengi kwakuwa kinga yao iko chini ukilinganisha na watu wa makundi mengine

USAHIHI: [emoji1541]

Sio kweli kwamba Virusi vya##COVID19 huwaathiri wazee pekee. Kwa mujibu wa takwimu kutoka vyanzo mbalimbali zinaonesha kuwa #COVID19 waathirika wa #coronavirus ni watu wa rika zote

WHO: Watu wenye Kisukari, matatizo ya Shambulio la Moyo na Pumu wako kwenye hatari zaidi na magonjwa mengine yanayopunguza kinga ya mwili

=======

The World Health Organizaton

At a rally on March 9, US President Trump told his supporters that the coronavirus will go away in April as the weather in the US gets warmer.

Last month, he was also quoted saying that the virus would be gone by April and that "the heat generally speaking kills this kind of virus," referring to the idea that warmer weather will kill the virus and thus help minimize its spread.

Truth: According to the WHO, the coronavirus can be transmitted in all areas of the globe, including hot climates. It won't just go away in the Northern Hemisphere as the weather gets warmer in spring and summer, experts say. We do not yet know if COVID-19 is a seasonal virus like influenza is, meaning it loses the ability to infect cells as the temperature rises.

Covid-19 affects only older people

•While older people are at greater risk owing to weakened immunity, there’s no evidence to show that younger, healthy people cannot be infected. Currently, all demographics are affected by the virus across the world.

The mortality rate, however, is higher among older persons.

• WHO says people with diabetes, asthma and heart diseases are at higher risk of infection.

Mosquito bites can cause infection

•Covid-19 is a respiratory disease that’s chiefly caused by saliva or mucus droplets resulting from a cough or sneeze from an infected person. Mosquitoes cannot transmit the virus.

C|Net

USAHIHI: 👇🏿

Dhana inaenezwa na watu wakubwa akiwemo Trump! Sijui wao shetia ya mtandao haiwahusu?😄
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom