Dhana nzima ya Futari na Daku

Dhana nzima ya Futari na Daku

Kuna muislamu alisema wakristo wanaabudu sanamu ,

Nikampa maana ya kuabudu sanamu jiwe la macca na manufaa yake , akatoka nduki

Ukaingia wewe ukavuruga na kukwepesha ile mada
tofautisha jiwe na sanamu ukitumwa sanamu unaleta jiwe?au lugha inakuchanganya sanamu ni neno la kiarabu kiswahili kinyago cha kuchonga au kufinyanga kwenye udongo kaangalie misalaba ina vinyago kaangalie nje ya makanisa kuna kinyago cha bikira mariya

hilo jiwe aliabudiwi bali watu uliangalia kwa mshabgao sababu lilitoka mbinguni kama msigi wa wakati huo iburahimu akiega msikiti wa makkah hata nyayo zake zipo pale mbona unaongelea jiwe tu nyayo je?
 
sanamu ni neno la kiarabu kiswahili kinyago cha kuchonga au kufinyanga kwenye udongo kaangalie
Ndo Aya ?

Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....
 
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23] Nimeshakuonesha master wa kuiga

Na saa 12 umetoa wapi ?
Hahahaahaha ona ulivyo ujielewi ona maneno mnayofundishwa kanisani hayo au nawewe unapinga maana ushaanza kua mpingaji sikuhizi

Alafu naona unahahaha kweli yani wakati mmeiga kwa waislam nimemaliza

Screenshot_20230225-101724.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
hilo jiwe aliabudiwi bali watu uliangalia kwa mshabgao sababu lilitoka mbinguni kama msigi wa wakati huo iburahimu akiega msikiti wa makkah hata nyayo zake zipo pale mbona unaongelea jiwe tu nyayo je?
Mungu tu ndie anaaamehe dhambi ili jiwe nguvu ya kusamehe dhambi za waislamu limetoa wapi , kitu kinacho kusamehe ndio ibada yenyewe

  • Sanamu jiwe unalolisujudi kila siku lisome kazi zake, kALIGUSE jiwe likusamehe dhambi 😂😂😂
  • Jiwe jeusi lina fyonza dhambiza waislamu
    • Ibn Abbas alisisitiza kwamba: Muhammad alisema: "Jiwe jeusi liliteremka kutoka Peponi, na lilikuwa jeupe zaidi kuliko maziwa, kisha likatiwa weusi na dhambi za watoto wa Adamu. Jami` at-Tirmidhi 877
  • Jiwe jeusi kutoa hukumu siku ya mwisho
    • Imesimuliwa kwamba Ibn 'Abbaas alisema: Muhammad alisema juu ya Jiwe: "Na Allaah, Allaah Atalileta jiwe hiyo Siku ya Kiyama, na jiwe litakuwa na macho mawili na ambayo yanaona na mdomo ambao utaongea , na jiwe litashuhudia kwa wale walioigusa kwa moyo wa kweli. "Jami` at-Tirmidhi 961
  • Jiwe linafuta dhambi likiguswa kwa moyo wa kweli
    • Imesimuliwa kutoka kwa Abdullah bin Ubaid bin Umair kwamba: "Ewe Abu abdur-Rahman, kwanini nikuone tu ukigusa hizi pembe mbili?" Alisema: "Muhammad alisema: Kuzigusa zinafuta dhambi." Sunan an-Nasa'i 2919
 
Ndo Aya ?

Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....
34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuru

Nadhani umepata majibu mwenyewe kua masanam ni nini?

Kama sanam la deacon

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuru

Nadhani umepata majibu mwenyewe kua masanam ni nini?

Kama sanam la deacon

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndio muanzilishi ni Allah kwa Suleimani muislamu

Tena alituma watenda kazi kabisa,
Embu tueleze ni lini alikuja Allah kubadilika na akaleta jiwe
 
Mungu tu ndie anaaamehe dhambi ili jiwe nguvu ya kusamehe dhambi za waislamu limetoa wapi , kitu kinacho kusamehe ndio ibada yenyewe

  • Sanamu jiwe unalolisujudi kila siku lisome kazi zake, kALIGUSE jiwe likusamehe dhambi [emoji23][emoji23][emoji23]
  • Jiwe jeusi lina fyonza dhambiza waislamu
    • Ibn Abbas alisisitiza kwamba: Muhammad alisema: "Jiwe jeusi liliteremka kutoka Peponi, na lilikuwa jeupe zaidi kuliko maziwa, kisha likatiwa weusi na dhambi za watoto wa Adamu. Jami` at-Tirmidhi 877
  • Jiwe jeusi kutoa hukumu siku ya mwisho
    • Imesimuliwa kwamba Ibn 'Abbaas alisema: Muhammad alisema juu ya Jiwe: "Na Allaah, Allaah Atalileta jiwe hiyo Siku ya Kiyama, na jiwe litakuwa na macho mawili na ambayo yanaona na mdomo ambao utaongea , na jiwe litashuhudia kwa wale walioigusa kwa moyo wa kweli. "Jami` at-Tirmidhi 961
  • Jiwe linafuta dhambi likiguswa kwa moyo wa kweli
    • Imesimuliwa kutoka kwa Abdullah bin Ubaid bin Umair kwamba: "Ewe Abu abdur-Rahman, kwanini nikuone tu ukigusa hizi pembe mbili?" Alisema: "Muhammad alisema: Kuzigusa zinafuta dhambi." Sunan an-Nasa'i 2919
Tulia wewe jiwe hata bibilia inajua utukufu wake

Na jiwe hili nililolisimamisha kama nguzo litakuwa nyumba ya Mungu; na katika kila utakalonipa hakika nitakutolea wewe sehemu ya kumi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tulia wewe jiwe hata bibilia inajua utukufu wake
Wapi jiwe linafuta dhambi

Hahhahaha imepenya unaanza kufananisha sanam na jiwe [emoji12][emoji12][emoji12]

Na jiwe hili nililolisimamisha kama nguzo litakuwa nyumba ya Mungu; na katika kila utakalonipa hakika nitakutolea wewe sehemu ya kumi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hahahhahaha mmeiga kwa waislam imeisha hiyo
Uzuri Mimi huwa siongei bila rejea , msome baba wa kuiga

Soma
Hapa tunamuona kuwakuta wayahudi wanafunga , akawa hajui chochote kuhusu kufunga, akawauliza kwa nini wanafunga siku hiyo, wakamjibu tunafunga maana ndio siku wana wa israel waliokolewa kutoka kwa adui yao na Musa alifunga siku hii, Muhammad akawaambia sisi waislamu ndio tupo karibu na Musa kuliko nyie (😂) basi tutafunga na sisi leo akaanza kufunga siku hiyo hiyo na akawaamuru waislamu wafunge, na akawanyang'anya wayahudi Musa akamfanya ni wakwao na ni muislamu
Muhammad came to Medina and saw the Jews fasting on the day of Ashura. He asked them about that. They replied, "This is a good day, the day on which God rescued Bani Israel from their enemy. So, Moses fasted this day." Muhammad said, "We have more claim over Moses than you." So, Muhammad fasted on that day and ordered (the Muslims) to fast (on that day).Sahih al-Bukhari 2004
 
Uzuri Mimi huwa siongei bila rejea , msome baba wa kuiga

Soma
Hapa tunamuona kuwakuta wayahudi wanafunga , akawa hajui chochote kuhusu kufunga, akawauliza kwa nini wanafunga siku hiyo, wakamjibu tunafunga maana ndio siku wana wa israel waliokolewa kutoka kwa adui yao na Musa alifunga siku hii, Muhammad akawaambia sisi waislamu ndio tupo karibu na Musa kuliko nyie ([emoji23]) basi tutafunga na sisi leo akaanza kufunga siku hiyo hiyo na akawaamuru waislamu wafunge, na akawanyang'anya wayahudi Musa akamfanya ni wakwao na ni muislamu
Muhammad came to Medina and saw the Jews fasting on the day of Ashura. He asked them about that. They replied, "This is a good day, the day on which God rescued Bani Israel from their enemy. So, Moses fasted this day." Muhammad said, "We have more claim over Moses than you." So, Muhammad fasted on that day and ordered (the Muslims) to fast (on that day).Sahih al-Bukhari 2004
Hahhahaha unarudi nyuma ili ujipoze

Mimi nazungumza na nyei mnao waiga waislam mnakula jioni kama wanavyo fanya waislam wakati yesu hakusema hivyo naona unahahhaaha kweli yani

Back
Top Bottom