Dhana nzima ya Futari na Daku

Dhana nzima ya Futari na Daku

Naam chief

Inapo semwa usiku Sana inamaanisha kwenye mida ya saa nane au saa Tisa au saa Kumi, hiyo ndio mida mizuri ya Kula Daku.

Kama unaweza kula chakula kizito mida hiyo ni vizuri ili ikupe nguvu/ stamina ya kufunga vizur mchana, lakini kama huwezi Kula chakula kizito basi waeza kupata kitu chepesi na ukakusudia au kunuia kuwa ndio Daku kwako,mfano kahawa/chai,maziwa au tende na kadhalika na hapo utakuwa umepata fadhila za Kula daku
... ni sahihi kula daku Jua likiwa linawaka?
 
We babu unazeeka vibaya,
Usahasema Imani sasa Imani ya Mtu anaonaje mateso sio kama wewe ndie utesekaye kwa kuumizwa na matendo ya Imani ya mwengine.
Kuamini bila sayansi ni upuuzi! Wwe ni NGUIN ndiyo maana huelewi kitu
 
DINI ya kuabudu Miungu Mwezi na Jua KUZAMA.

Mungu anasema mumuabudu yeye msiabudu kitu kingine chochote zaidi yake yeye.

Endeleeni kumkufuru
MWEZI WA MUNGU MNASEMA MWEZI WA Lama Hovyo sana nyie.
moto utakuwakia Sanaa kafiri wewe🤣🤣🤣🤣🤣 ukiristo sio diniiiii
 
... ni sahihi kula daku Jua likiwa linawaka?
Si sahihi kwasababu Daku inatakiwa iwe kabla ya alfajir haijaingia .

Ni hivi alfajir inaingia pale weusi WA usiku unapoondoka na kuingia weupe wake,mathalani huku kwetu Africa alfajir inaingia kwenye saa Kumi na moja kasorobo mpaka saa Kumi na moja ingawa hubadilika majira lkn huwezi kuta alfajir imeingia saa Kumi na nusu usiku.

Kwahiyo Kwa majira yako ya huko Sweden inatakiwa ujue weupe WA alfajir inaingia saa ngapi ili ule Daku kabla ya weupe huo haijaingia, maana kutoka jua inamaa alfajir imeingia tayar na ukila hapo inakuwa huna funga.
 
Sweden na maeneo mengine ya far north kuna msimu Jua linakuwa on 22 hrs; funga inakuwa masaa 22? Au watumie means nyingine badala ya kutumia Jua kama tool ya kuwawezesha kutambua muda wa futari/daku?
 
Sweden na maeneo mengine ya far north kuna msimu Jua linakuwa on 22 hrs; funga inakuwa masaa 22? Au watumie means nyingine badala ya kutumia Jua kama tool ya kuwawezesha kutambua muda wa futari/daku?
Jaribu kupitia hii time table ya wa sweden ya mwaka huu ya kufunga

Na kwa wale wasio weza hua wanatumia muda wa saa za Saudi Arabia
Screenshot_20230223-160556.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Jaribu kupitia hii time table ya wa sweden ya mwaka huu ya kufunga

Na kwa wale wasio weza hua wanatumia muda wa saa za Saudi Arabia
View attachment 2527489

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
... kwa maelezo na timetable hiyo, ile dhana kwamba usiku ni Jua kuwa off hivyo ndio muda wa futari/daku na mchana ni Jua kuwa on (muda wa kufunga) hai-apply evenly duniani kote. Nilitaka kujua tu hilo.
 
Tuko pamoja kaka kikubwa kama nitakua nateleza mahala usisite kukumbashana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Usijali chief

Unajua binafsi ningependa au huwa natamani hawa jamaa tungeenda nao Sawa Kwa hekima na kuelimishana

Lakini

Nimegundua sometime inabidi muwepo watu kama nyinyi muwa challenge Kwa namna moja au nyingine,maana ndio lugha ambayo wanaielewa zaidi.
 
Sweden na maeneo mengine ya far north kuna msimu Jua linakuwa on 22 hrs; funga inakuwa masaa 22? Au watumie means nyingine badala ya kutumia Jua kama tool ya kuwawezesha kutambua muda wa futari/daku?
Chief

Mapambazuko na machweo ya jua ndio tool pekee inayoongoza ibada ya funga katika Imani ya kiislamu, kama ambavyo baadhi ya maeneo mengine hufunga masaa machache kutokana na mazingira.

Nakumbuka kuna mwamba mmoja sijui alikuwa inchi gani vile wao wakiswali Isha Ile swala ya usiku basi wanakaa kidogo msikitini kusubiria Sala ya alfajiri,kuna majira Fulani ambayo hukutana na Hali hiyo.

Kwahiyo tukirudi kwako najua kuna misimu huko hufunga masaa 22 kama unavyosema na misimu mingine ni less than that ndio majaliwa ya mazingira yenu Hamna budi kwenda nayo Sawa.
 
Wafunge wao, wakikuona unakula wanakuja na fimbo. Bado tupo enzi za utumwa.
Ingekuwa ndiyo wanafanya huku bara mbona pangekuwa hapatoshi.
 
Back
Top Bottom