professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Kwani wewe mvaa pempas unafungajeMfano.
Wanafunzi waanze kwenda shule saa moja usiku Hadi saa kumi na moja Asubuhi.
Alafu waje watuambie eti wamefunga shule.
Imani ya DINI ya MAKOBAZI ni ya Hovyo sana.
Kila siku tunasema imetengenezwa Roma hamuelewi
... "usiku sana"; those were the keywords. Sweden is not very uncommon Jua kuonekana 22hrs a day.Sweden haina usiku?
... ni sahihi kula daku Jua likiwa linawaka?Naam chief
Inapo semwa usiku Sana inamaanisha kwenye mida ya saa nane au saa Tisa au saa Kumi, hiyo ndio mida mizuri ya Kula Daku.
Kama unaweza kula chakula kizito mida hiyo ni vizuri ili ikupe nguvu/ stamina ya kufunga vizur mchana, lakini kama huwezi Kula chakula kizito basi waeza kupata kitu chepesi na ukakusudia au kunuia kuwa ndio Daku kwako,mfano kahawa/chai,maziwa au tende na kadhalika na hapo utakuwa umepata fadhila za Kula daku
Kuamini bila sayansi ni upuuzi! Wwe ni NGUIN ndiyo maana huelewi kituWe babu unazeeka vibaya,
Usahasema Imani sasa Imani ya Mtu anaonaje mateso sio kama wewe ndie utesekaye kwa kuumizwa na matendo ya Imani ya mwengine.
moto utakuwakia Sanaa kafiri wewe🤣🤣🤣🤣🤣 ukiristo sio diniiiiiDINI ya kuabudu Miungu Mwezi na Jua KUZAMA.
Mungu anasema mumuabudu yeye msiabudu kitu kingine chochote zaidi yake yeye.
Endeleeni kumkufuru
MWEZI WA MUNGU MNASEMA MWEZI WA Lama Hovyo sana nyie.
Si sahihi kwasababu Daku inatakiwa iwe kabla ya alfajir haijaingia .... ni sahihi kula daku Jua likiwa linawaka?
Afadhali mwanajeshi wangu umekuja,wewe ndo unajua kwenda nao Sawa hawa wapuuzi
Sweden na maeneo mengine ya far north kuna msimu Jua linakuwa on 22 hrs; funga inakuwa masaa 22? Au watumie means nyingine badala ya kutumia Jua kama tool ya kuwawezesha kutambua muda wa futari/daku?Si sahihi kwasababu Daku inatakiwa iwe kabla ya alfajir haijaingia .
Ni hivi alfajir inaingia pale weusi WA usiku unapoondoka na kuingia weupe wake,mathalani huku kwetu Africa alfajir inaingia kwenye saa Kumi na moja kasorobo mpaka saa Kumi na moja ingawa hubadilika majira lkn huwezi kuta alfajir imeingia saa Kumi na nusu usiku.
Kwahiyo Kwa majira yako ya huko Sweden inatakiwa ujue weupe WA alfajir inaingia saa ngapi ili ule Daku kabla ya weupe huo haijaingia, maana kutoka jua inamaa alfajir imeingia tayar na ukila hapo inakuwa huna funga.
Tuko pamoja kaka kikubwa kama nitakua nateleza mahala usisite kukumbashanaAfadhali mwanajeshi wangu umekuja,wewe ndo unajua kwenda nao Sawa hawa wapuuzi
Jaribu kupitia hii time table ya wa sweden ya mwaka huu ya kufungaSweden na maeneo mengine ya far north kuna msimu Jua linakuwa on 22 hrs; funga inakuwa masaa 22? Au watumie means nyingine badala ya kutumia Jua kama tool ya kuwawezesha kutambua muda wa futari/daku?
... kwa maelezo na timetable hiyo, ile dhana kwamba usiku ni Jua kuwa off hivyo ndio muda wa futari/daku na mchana ni Jua kuwa on (muda wa kufunga) hai-apply evenly duniani kote. Nilitaka kujua tu hilo.Jaribu kupitia hii time table ya wa sweden ya mwaka huu ya kufunga
Na kwa wale wasio weza hua wanatumia muda wa saa za Saudi Arabia
View attachment 2527489
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
You're like sayyidina umari bin khatwab(ra) nikikuonaga kwenye nyuzi kama hizi + Accumen Mo + wengine huwa naona mambo yamekaa sawa naachana na Uzi wenyeweTuko pamoja kaka kikubwa kama nitakua nateleza mahala usisite kukumbashana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Shukran Kaka Allah atupe kheri soteYou're like sayyidina umari bin khatwab(ra) nikikuonaga kwenye nyuzi kama hizi + Accumen Mo + wengine huwa naona mambo yamekaa sawa naachana na Uzi wenyewe
Usijali chiefTuko pamoja kaka kikubwa kama nitakua nateleza mahala usisite kukumbashana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
ChiefSweden na maeneo mengine ya far north kuna msimu Jua linakuwa on 22 hrs; funga inakuwa masaa 22? Au watumie means nyingine badala ya kutumia Jua kama tool ya kuwawezesha kutambua muda wa futari/daku?
Ingawa sijakuelewa unakusudia nini chief
Sijui unaandika huku unatembea au upo kwenye mwendo Kasi?
Andiko tafadhali kutoka katika quranHUWEZI kuelewa Wewe unaye abudu Jua au Mwezi WA Ramadhani.
Muabudu Mungu Wa pekee wa kweli na Yesu Kristo aliyemtuma
Yohana 17:3
Usiabudu Miungu mingine
Kwa hiyo Roma ndio wanabadilisha Mchana kua Usiku?
Andiko tafadhali kutoka katika quran