Dhana nzima ya Futari na Daku

Dhana nzima ya Futari na Daku

Wewe chizi kweli mtu wangu.

Aliekwambia kila anaekula Daku anashiba mchana kutwa ni Nani?
Alafu na wewe utakuwa ushajaza mkopo , ule vizuri, Yani nachekaga

Funga kula mlo mmoja tu wa jioni mpaka kesho jioni

Achana na kula ma vyakula usiku wa manane yanachacha tumboni

Mchana mnarusha macheuzi ya mavimbizi
 
Sayansi imefeli Mara nyingi tu baada ya kuaminika,sayansi ni uelewa wa Mammalia wenzio tu ambao hubadilika kila mara
Sayansi haijawahi kufeli, sema kuna issue ambazo hazijapata ufumbuzi wa kisayansi. Bado haujafanyika utafiti wa kutosha kuhusu say cancer cause yake ni nini and how cancer system 'regulates" tself!
 
Kuna post moja nimeiyona ingawa ilikuwa inazungumzia kwaresma lakini mwandishi wa post hiyo alikuwa na lengo la kukashifu dhana nzima ya Futari na Daku.

Kwake yeye Kwa mujibu wa Imani yao wanakula chakula chochote kile tofauti na watu wa Imani nyingine ambayo pasina kuficha na Imani hii ni Uislamu.

Kwa uelewa wa mwandishi anachoelewa yeye kuhusu Futari cha kwanza kinachomjia kichwani kwake ni uji, viazi au mihogo na tambi, kwake yeye hiyo ndio Futari.

Na Daku ni chakula ambacho kinaliwa usiku sana kama ugali, wali na ndizi na kadhalika, kwahiyo kana kwamba anaona fahari kwamba wao hawana mambo hayo kwahiyo mambo yao yapo super.

Ningependa nimpe elimu juu ya mambo haya ili ukungu umtoke katika ubongo wake na apate kujua usahihi wa dhana ya Futari na Daku ili kesho na kesho kutwa asirudie tena kuongea huo upuuzi.

Futari imetokana na neno kufuturu kwa Kiswahili chepesi ni mlo wa kwanza baada ya kufunga swaumu, kwahiyo kile chakula cha kwanza kukila baada ya kufungua ndio huitwa Futari, na yaweza kuwa tende au maji, ukipata kimoja kati ya hicho hapo tunasema umefuturu, na chakula kingine ni ziada tu kwa maana kinahesabika kama chakula kingine tu.

Tofauti na watu wa Imani nyingine, Futari au kufuturu ni ibada na ina utaratibu wake, miongoni mwa mambo muhimu ya kufanya kwa mwenye kufunga ni kutakiwa kufuturu mapema au haraka mara baada tu ya kuingia Magharibi baada ya jua kuzama.

Hapo hutakiwa kupata tende au maji kwani hivyo ndio vitu ambavyo ni Sunna kutoka kwa Mtume wetu, lakini hata hivyo hakuna aweza kufuturu Kwa biskuti, matunda, karanga au na chochote kile ambacho anaweza kuipata Kwa wakati huo, hapo ndio tunasema kufuturu.

Kwahiyo funga ya muislamu au mwezi wa Ramadhani unaweza kufungwa hata bila ya uwepo wa uji, au viazi, ndizi, magimbi na kadhalika, hivyo ni vyakula tu ambavyo vimezoeleka lakini sio kwamba bila hivyo haipatikani funga, mtu anaweza kufuturu kwa chai na mkate au chapati na hiyo ndo ikawa Futari yake.

Daku ni chakula ambacho huliwa usiku Sana na inashauriwa kuanzia saa nane, tisa mpaka saa kumi usiku, lakini hii nayo ni ibada pia, kwa maana ni bora zaidi kuchelewa kula Daku kama ambavyo ni bora zaidi kuwahi kufuturu, na unapata thawabu kwa kufanya haya.

Daku ni chakula kilicho barikiwa na ndio maana waislamu wanasisitizwa sana mwezi wa Ramadhani wajitahidi Kula Daku, lakini ifahamike kwamba Daku inaweza kuwa glasi moja ya maji au maziwa, au chai na andazi au chapati, ili mradi tu upate chochote kidogo cha kula usiku huo, na hiyo ndio Daku.

Kwa mfano unaweza kula wali wako au ugali saa tano usiku halafu usiku ukaamka kunywa chai tupu au juisi au maziwa ndio ikawa Daku yako, hapo unapata baraka.

Na haya mambo ya kudhani Futari ni viazi, mihogo, ndizi, magimbi na uji au chai huwa tatiza hata baadhi ya waislamu kwa kusema hawana hela ya Futari na hivyo kushindwa kufunga swaumu, huo ni uelewa mbaya sana na ni kukosa maarifa kabisa.

Tupende kujifunza na kupata elimu ili tufanye mambo sahihi kwa wakati sahihi kabisa.

Natumaini wale ambao walikuwa na uelewa mbaya kuhusu Futari na Daku walau kwa uchache watakuwa wamepata maarifa na kutoa ukungu katika vichwa vyao.

Ni hayo tu!

johnthebaptist
Numbisa
Daku. Ni batili mtu huwezi sema umefungua wakati umekula alfajiri
 
Ata juzi ktk maazimisho ya misa ya J5 ya majivu Padri mmoja aliyekuwa akiazimisha misa ile ali kemea matumizi ya neno futari
 
Unafungua saa 12 kwa maelezo ya yesu yupi umbwa wewe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ona unavyo panic kama pedophile

Mnatutesa Sana mkianza mfungo wenu wa kula kama mchwa
Mtu anakula saa kumi usiku machakula Yana chacha tumboni akija ofisini ni kutema macheuzi ya mavimbizi

Kula mara moja jioni mpaka kesho jioni
 
Ona unavyo panic kama pedophile

Mnatutesa Sana mkianza mfungo wenu wa kula kama mchwa
Mtu anakula saa kumi usiku machakula Yana chacha tumboni akija ofisini ni kutema macheuzi ya mavimbizi

Kula mara moja jioni mpaka kesho jioni
Una maneno mengi kama nguchiro unamfata yesu yupi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ni kazi sana kumuelewesha mtu anae tembea na sanam ya Brian Deacon shingon akiamin ni muokozi wake
  • Sanamu jiwe unalolisujudi kila siku lisome kazi zake, kALIGUSE jiwe likusamehe dhambi 😂😂😂
  • Jiwe jeusi lina fyonza dhambiza waislamu
    • Ibn Abbas alisisitiza kwamba: Muhammad alisema: "Jiwe jeusi liliteremka kutoka Peponi, na lilikuwa jeupe zaidi kuliko maziwa, kisha likatiwa weusi na dhambi za watoto wa Adamu. Jami` at-Tirmidhi 877
  • Jiwe jeusi kutoa hukumu siku ya mwisho
    • Imesimuliwa kwamba Ibn 'Abbaas alisema: Muhammad alisema juu ya Jiwe: "Na Allaah, Allaah Atalileta jiwe hiyo Siku ya Kiyama, na jiwe litakuwa na macho mawili na ambayo yanaona na mdomo ambao utaongea , na jiwe litashuhudia kwa wale walioigusa kwa moyo wa kweli. "Jami` at-Tirmidhi 961
  • Jiwe linafuta dhambi likiguswa kwa moyo wa kweli
    • Imesimuliwa kutoka kwa Abdullah bin Ubaid bin Umair kwamba: "Ewe Abu abdur-Rahman, kwanini nikuone tu ukigusa hizi pembe mbili?" Alisema: "Muhammad alisema: Kuzigusa zinafuta dhambi." Sunan an-Nasa'i 2919
 
Back
Top Bottom