Dhana Potofu: Sio kila anayeendesha baiskeli ya Phoenix akibeba Mayai ni Mkurya

Dhana Potofu: Sio kila anayeendesha baiskeli ya Phoenix akibeba Mayai ni Mkurya

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Watanzania Wazalendo wote

Hamjamboni wote!

Naomba mfahamu ya kuwa siyo kila abebaye mayai kwenye baiskeli hususani phoenix anatokea kanda maalumu ya Tarime

Hiyo ni dhana potofu na inayokera sana.

Nitoe wito ndugu zangu muifutilie mbali dhana hii potofu yenye lengo la kudhalilisha uthamani wa jamii husika

Nawasilisha
 
Inamkera nani??

Kila aneuza vitu mitaani ni machinga
Kila wadada wenye vyumba wanaojiuza mitaani ni wahaya
Kila ombaomba ni wagogo..
Wanaouza kahawa ni waha..


Inamkera nani??
 
Ni mkurya kikabila au kimazingira Hilo hakina ubishi

Wale wanaoji.. Ni wahaya kikabila au kimazingira

Majambazi Ni wachagga kikabila au kimazingira
Haya hayana ubishi Kama utaielewa dhana ya mazingira

Mazingira yameua tabia za kikabila ndio maana Leo mpaka wachagga wanajiuza...
Wamassai majambazi,
 
msisahau kua Tanzania tuna utani wa kikabila, ambao umeshamiri na hautakuja kuisha.
 
Back
Top Bottom