hukujiuliza kwa nini kwako likae mwaka tu wakati huko japan gearbox hiyo hiyo imetembea malaki ya kilometers?Asikwambie mtu gari ya kazi ni manual. Hizi auto zinasumbua sana. Mwaka 2014 niliwahi kununua Mitsubishi Canter automatic baada ya mwaka nilibadili gear box nikaweka manual transmission na gari mpaka leo inapiga mzigo bila shida
hukujiuliza kwa nini kwako likae mwaka tu wakati huko japan gearbox hiyo hiyo imetembea malaki ya kilometers?
shida kubwa ni mafundi , hawa ndo wanawamislead nyie wamiliki, automatic ni gearbox imara tu , ila ni sensitive, ukikosea tu Atf fluid type , umeua gearbox .!
Ndio maana nimemshauri achukue manual transmission ili kuepuka usumbufu. Kwanza maintenance yake ni rahisi na gharama nafuu. Mafundi wa kutosha sasa kwanini ajitese na automatic wakati ni gari ya kazihukujiuliza kwa nini kwako likae mwaka tu wakati huko japan gearbox hiyo hiyo imetembea malaki ya kilometers?
shida kubwa ni mafundi , hawa ndo wanawamislead nyie wamiliki, automatic ni gearbox imara tu , ila ni sensitive, ukikosea tu Atf fluid type , umeua gearbox .!
Duh [emoji849] lakini zimedumu kwa muda mrefu kweli ,may be kwe sababu ni chuma ya mjerumani (Voith).sahihi kabisa
you can tell by the way it loads the next gear
zile basi za mwendokasi ni auto kama ya gari ndogo tu( torque converter.)