t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
hukujiuliza kwa nini kwako likae mwaka tu wakati huko japan gearbox hiyo hiyo imetembea malaki ya kilometers?Asikwambie mtu gari ya kazi ni manual. Hizi auto zinasumbua sana. Mwaka 2014 niliwahi kununua Mitsubishi Canter automatic baada ya mwaka nilibadili gear box nikaweka manual transmission na gari mpaka leo inapiga mzigo bila shida
shida kubwa ni mafundi , hawa ndo wanawamislead nyie wamiliki, automatic ni gearbox imara tu , ila ni sensitive, ukikosea tu Atf fluid type , umeua gearbox .!