Miyeyusho
Member
- Aug 14, 2020
- 24
- 36
Habari za wakati huu wana JF?
Binafsi nimekua muumini mkubwa sana wa hii dhana tena sana, jambo la kushukuru mungu inajidhihirisha kwenye maisha yangu siku adi siku.
Ngoja niwape kisa kidogo kilichonitokea kutoka kwa shemeji yenu. Jana bwana nilipigiwa simu na mke wangu. Mke wangu tunatimiza miwili sasa ya ndoa yetu. Sababu kubwa sana iliyonifanya nimuoe huyu mrembo ilikua ni tabia yake ya uvumilivu katika kila jambo.
Amenivumilia mambo mengi sana tena sana, kama unavyojua changamoto zetu sisi vijana, lakini pamoja na uvumilivu wake bado hakosi vile vitabia vya watoto wakike kubadilika kwa mood baada ya kuona hawatimiziwi baadhi ya mahitaji yao. Ni kweli akiniambiaga jambo lake kama siwezi kulitimiza kwa wakati huo basi uwa ananunanuna na ata utamu sipewi ule wakujiachia kabisa, napewa wa maliza kufanya unachokifanya niendelee na shughuli zangu.
MCHAPO WENYEWE ULIKUA HIVI.
Griii....Griiii.....Griiiiii simu yangu ikawa inaita. Kuangalia kwenye simu jina limetokea "WIFE". Maongezi baada ya simu kupokelewa.
MIMI: baby....Mambo vipi?
WIFE: Poa
MIMI: Mzima wewe?
WIFE: Niko poa.
MIMI: Nimekumiss sana mke wangu maana wiki sasa tangu nisafiri sijakuona mpenzi.
WIFE: Utanikuta ukirudi.
MIMI: Vipi, unaumwa?
WIFE: Hapana.
MIMI: Sasa mbona unaongea hivyo? alafu inaonekana kama huna raha.
WIFE: Hapana, sijala toka mchana njaa inaniuma?
MIMI: Sasa baby njaa inakuumaje? wakati mahitaji yote yapo hapo nyumbani. Ni jambo lakupika tu.
WIFE: Sijisikii kula chakula cha nyumbani, nimemiss kuku wa-KFC.
MIMI: Basi sawa ukiwa na mood utanicheki.
WIFE: Sawa.
Baada ya kusema sawa akakata simu. Mimi nikajiongeza kidume, baada ya kukata simu tu nikamtumia TSH 50,000/-.
Nashangaa muda mfupi tu baada ya kupokea pesa akanipigia simu.
MIMI: Haloooo
WIFE: Baby asante nimeiyona. Nakupenda sana mume wangu.
MIMI: Usijali baby, Enjoy your day.
WIFE: Thanks hubby. Nakupenda sana mume wangu, hujui tu. Wewe ndio kila kitu kwangu.
MIMI: Duh, baby kweli KFC wako fasta, mara hii ushaagiza kuku, wamekuletea na ushakula, umeshiba?
WIFE: Achana na hayo. Nimekumiss sana mpenzi. Uwahi kurudi, kitumbua kinakuhitaji.
MIMI: Sawa baby. Baadae basi wacha nifanye kazi.
WIFE: Ushaanza hivyo, unataka kuongea na michepiko yako. Mimi nina hamu yakutaka kuongea na wewe.
MIMI: Hamna baby. Kuna kazi nataka nimalizie hapa, nipo kazini.
WIFE: Sawa. Sasa nikupigie simu nikute inatumika.
MIMI: Hapana mpenzi, amna lolote mrembo. Baadae nitakucheki.
WIFE: Sawa, nakupemda sana baby. Take care.
MIMI: Ok baby. Next time.