Madikizela
JF-Expert Member
- Jul 4, 2009
- 679
- 450
Unamfahamu ndugu yangu GENTAMYCINE?Wanazengo, Asalaam Aleikhumu, katika mabandiko mengi humu ndani hususani katika jukwaa hili kumekuwa na na tabia ambayo kwa mtazamo wangu duni naona haya mambo ya kuitana majina ya kebehi hayana mantiki Kwa masilahi mapana ya Demokrasia ya nchi yetu hususani ukizingatia kuwa hili ni jukwaa la watu Malini ambao hujadiliana masuala na siyo kujadili makundi au watu.
Nawatakia siku njema
Hicho pia ni kipimo Cha umakini na uvumilivu wa makundi mbali mbali, kwani tumetoka kwenye enzi za kufungana, kutekana, kuuwana, kumiminiana marisasi na sasa tupo enzi za kutaniana na lengo tufike enzi mpya za kuheshimiana, enzi za haki, uhuru wa maoni na hata tufikie enzi za kushindana kwa hoja bila chuki Wala matumizi ya nguvu.Wanazengo, Asalaam Aleikhumu, katika mabandiko mengi humu ndani hususani katika jukwaa hili kumekuwa na na tabia ambayo kwa mtazamo wangu duni naona haya mambo ya kuitana majina ya kebehi hayana mantiki Kwa masilahi mapana ya Demokrasia ya nchi yetu hususani ukizingatia kuwa hili ni jukwaa la watu Malini ambao hujadiliana masuala na siyo kujadili makundi au watu.
Nawatakia siku njema