Madikizela
JF-Expert Member
- Jul 4, 2009
- 679
- 450
Wanazengo, Asalaam Aleikhumu, katika mabandiko mengi humu ndani hususani katika jukwaa hili kumekuwa na na tabia ambayo kwa mtazamo wangu duni naona haya mambo ya kuitana majina ya kebehi hayana mantiki Kwa masilahi mapana ya Demokrasia ya nchi yetu hususani ukizingatia kuwa hili ni jukwaa la watu Malini ambao hujadiliana masuala na siyo kujadili makundi au watu.
Nawatakia siku njema
Nawatakia siku njema