Dhana ya kujifukuzisha kazi(absconding) iko vipi?

mandwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
1,493
Reaction score
361
Habari wakuu

Naomba mnisaidie mfanyakazi anawezaje kujifukuzisha kazi? Mimi sijaenda kazini siku 10 nilikuwa na matatizo ya kifamilia nilimjulisha msimamizi wangu wa kazi juu ya hili. Cha kushangaza nimerudi kazini HR anasema nimejifukuzisha kazi.

Amekataa nisifanye kazi na amesema hawezi kunipatia chochote kama notice wala barua ya kuniwezesha kufatilia malipo yangu ya NSSF mpaka niandike barua ya kuacha kazi na nimlipe notisi.

Je ni haki? Eti anasema nimeabscond from job hii ipo vipi nisaidieni nimepoteza kazi na sijalipwa chochote
 
Hizo siku 10 hujaenda kazini, uliwajulisha kazini na ukaruhusiwa au ulijipa mwenyewe ruhusa
Kama umejipa mwenyewe na hali ya maisha yalivyo sasa naona kapata njia ya kukutimua tu lakini kisheria na mimi nasubiri nisome comments
Pole

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Sasa ukiandika barua ya kuacha kazi si ndo umejifukuzisha usiandike hyo barua. Pia ingetakiwa upate ruhusa aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
nilimpatia taarifa msimamizi wangu wa kazi ambaye ni muhindi cha kushangaza meneja mwajiri akumuita kumuuliza na hata mimi hakunipa nafasi ya kujieleza akuna cha kikao cha nidhamu na sijawahi hata kupewa barua ya onyo katika miaka 4 niliyofanya kazi
 
Je una ushahidi wa kupewa ruhusa na huyo msimamizi wa kazi? na utaratibu wa ruhusa kazini ukoje, kama kakuachisha kazi akuandikie yeye, na si wewe kuandika barua hiyo,
wewe nenda kazini kwa sababu hujafukuzwa kazi bado
na usaini kitabu cha mahudhurio kama kawaida,
mwisho wa mwezi wasipo kulipa wewe tinga kwenye usuluishi,
wataeleza wamekufukuzaje kazi.....
 
nimezuiliwa mlangoni na walinzi kwa amri ya meneja mwajiri wakati mkataba ninao na bado haujaisha
 
Maandishi sehemu ya kazi ni kitu muhimu sana, hata kama ingekuwa ni barua ya mstari mmoja, Ingewekwa kwenye faili lako.

Wao wako sahihi, kwa madai wanayotoa.
sasa hapo mkuu nifanyeje maana sina barua ya kunisaidia kufatilia pesa ya nssf nina familia sina hata pesa ya matumizi
 
habari wakuu
naomba mnisaidie mfanyakazi anawezaje kujifukuzisha kazi mimi sijaenda kazini siku 10 nilikua na matatizo ya kifamilia nilimjurisha msimamizi wangu wa kazi juu ya hili cha kushangaza nimerudi kazini hr anasema nimejifukuzisha kazi amekataa nisifanye kazi na amesema hawezi kunipatia chochote kama notise,wala barua ya kuniwezesha kufatilia malipo yangu ya nssf anasema mpaka niandike barua ya kuacha kazi na nimlipe notisi je ni haki? eti anasema nime abscond from job hii ipo vp nisaidieni nimepoteza kazi na sijalipwa chochote
Unaweza kuwa nje ya kazi kwa kujaza likizo ya dharura au kama ni mgonjwa uwe na ED toka hospitali inayoeleweka. Sasa kama umeongea na "supervisor" wako labda mkiwa baa ukamwambie kesho siji kazi na hukufanya "formal application" hapo kweli umejifukuzisha kazi.

Sidhani kama wamjiri anahitaji "Notice" yako maana hiyo "gross misconduct" na hasaka kwako ni kuwa CV imeharibika maana mwajiri mpya akiulizia mambo yako ataambiwa ulifukuwa kwa utoro kazini. Huyo HR kama anasisitiza uandike notisi atakuwa kilaza, basi tumia ukilaza wake mwandikie notisi ya mwezi mmoja au mitatu uendelee kpiga kazi mpaka mwisho wa notisi na utakuwa umesafisha CV yako maana utakuwa umeacha kazi mwenyewe
 
sawa nimekuelewa mwajiri anataka nimlipe pesa notisi wakati mimi ni mwajiriwa mshahara ni mwezi sasa notisi ni siku28 na mimi sijaenda kazini siku 9 ya kumi nimeripoti kazini
 
kingine nilimtumia ujumbe general manager juu ya matatizo yangu ila ule ujumbe mimi nimeufuta kwenye simu je naweza kwenda kwenye mtandao husika wa simu nitapatiwa ule ujumbe kama ushaidi inawezekana ?
 
Unaweza kuwa nje ya kazi kwa kujaza likizo ya dharura au kama ni mgonjwa uwe na ED toka hospitali inayoeleweka. Sasa kama umeongea na "supervisor" wako labda mkiwa baa ukamwambie kesho siji kazi na hukufanya "formal application" hapo kweli umejifukuzisha kazi.

Sidhani kama wamjiri anahitaji "Notice" yako maana hiyo "gross misconduct" na hasaka kwako ni kuwa CV imeharibika maana mwajiri mpya akiulizia mambo yako ataambiwa ulifukuwa kwa utoro kazini. Huyo HR kama anasisitiza uandike notisi atakuwa kilaza, basi tumia ukilaza wake mwandikie notisi ya mwezi mmoja au mitatu uendelee kpiga kazi mpaka mwisho wa notisi na utakuwa umesafisha CV yako maana utakuwa umeacha kazi mwenyewe
notisi ya mwezi mmoja atajitesa coz atatakiwa kuacha mshahara,,andike notisi ya miezi mitatu hapo atakuwa analipwa mshara kwa miezi yote hiyo
 
habari wakuu
naomba mnisaidie mfanyakazi anawezaje kujifukuzisha kazi mimi sijaenda kazini siku 10 nilikua na matatizo ya kifamilia nilimjurisha msimamizi wangu wa kazi juu ya hili cha kushangaza nimerudi kazini hr anasema nimejifukuzisha kazi amekataa nisifanye kazi na amesema hawezi kunipatia chochote kama notise,wala barua ya kuniwezesha kufatilia malipo yangu ya nssf anasema mpaka niandike barua ya kuacha kazi na nimlipe notisi je ni haki? eti anasema nime abscond from job hii ipo vp nisaidieni nimepoteza kazi na sijalipwa chochote
Kila sehemu ya kazi ina utaratibu wa kutoa ruhusa. Je kwenu utaratibu upoje? Uiufuata huo utaratibu au ulibuni utaratibu wako.
 
habari wakuu
naomba mnisaidie mfanyakazi anawezaje kujifukuzisha kazi mimi sijaenda kazini siku 10 nilikua na matatizo ya kifamilia nilimjurisha msimamizi wangu wa kazi juu ya hili cha kushangaza nimerudi kazini hr anasema nimejifukuzisha kazi amekataa nisifanye kazi na amesema hawezi kunipatia chochote kama notise,wala barua ya kuniwezesha kufatilia malipo yangu ya nssf anasema mpaka niandike barua ya kuacha kazi na nimlipe notisi je ni haki? eti anasema nime abscond from job hii ipo vp nisaidieni nimepoteza kazi na sijalipwa chochote
Siku 9 zote una matatizo ya kifamilia yapi? hata kama ni dharura mi mwenyewe ningekufukuza kazi.
 
nilimpatia taarifa msimamizi wangu wa kazi ambaye ni muhindi cha kushangaza meneja mwajiri akumuita kumuuliza na hata mimi hakunipa nafasi ya kujieleza akuna cha kikao cha nidhamu na sijawahi hata kupewa barua ya onyo katika miaka 4 niliyofanya kazi
Ofisini kwenu mnaombana ruhusa kienyeji bila ya kujaza fomu ya ruhusa?kuacha kazi ni haki yako ila kuna notisi mbili,,moja ya masaa ishirini na nne ambayo utalazimika kumlipa mwajiri wako mshahara wa mwezi mmoja,,pili notisi ya mwezi mmoja ambayo utafanya kazi bila kulipwa na wewe hautamlipa mwajiri wako,,hapo ndipo utakapokuwa na haki ya kupata fao la kujitoa huko NSSF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom