mandwa
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 1,493
- 361
- Thread starter
- #21
Ofisini kwenu mnaombana ruhusa kienyeji bila ya kujaza fomu ya ruhusa?kuacha kazi ni haki yako ila kuna notisi mbili,,moja ya masaa ishirini na nne ambayo utalazimika kumlipa mwajiri wako mshahara wa mwezi mmoja,,pili notisi ya mwezi mmoja ambayo utafanya kazi bila kulipwa na wewe hautamlipa mwajiri wako,,hapo ndipo utakapokuwa na haki ya kupata fao la kujitoa huko NSSF
Sent using Jamii Forums mobile app
nashukuru kwa msaada wako mimi nitafanya kazi mwezi bure ili nipate barua yangu na vp kama mwajiri atakataa nisifanye kazi mwezi