nilimpatia taarifa msimamizi wangu wa kazi ambaye ni muhindi cha kushangaza meneja mwajiri akumuita kumuuliza na hata mimi hakunipa nafasi ya kujieleza akuna cha kikao cha nidhamu na sijawahi hata kupewa barua ya onyo katika miaka 4 niliyofanya kaziSasa ukiandika barua ya kuacha kazi si ndo umejifukuzisha usiandike hyo barua. Pia ingetakiwa upate ruhusa aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Je una ushahidi wa kupewa ruhusa na huyo msimamizi wa kazi? na utaratibu wa ruhusa kazini ukoje, kama kakuachisha kazi akuandikie yeye, na si wewe kuandika barua hiyo,
wewe nenda kazini kwa sababu hujafukuzwa kazi bado
na usaini kitabu cha mahudhurio kama kawaida,
mwisho wa mwezi wasipo kulipa wewe tinga kwenye usuluishi,
wataeleza wamekufukuzaje kazi.....
nimezuiliwa mlangoni na walinzi kwa amri ya meneja mwajiri wakati mkataba ninao na bado haujaishaJe una ushahidi wa kupewa ruhusa na huyo msimamizi wa kazi? na utaratibu wa ruhusa kazini ukoje, kama kakuachisha kazi akuandikie yeye, na si wewe kuandika barua hiyo,
wewe nenda kazini kwa sababu hujafukuzwa kazi bado
na usaini kitabu cha mahudhurio kama kawaida,
mwisho wa mwezi wasipo kulipa wewe tinga kwenye usuluishi,
wataeleza wamekufukuzaje kazi.....
Je una nakala ya taarifa uliyompatia kama ushahidi?nilimpatia taarifa msimamizi wangu wa kazi ambaye ni muhindi cha kushangaza meneja
Maandishi sehemu ya kazi ni kitu muhimu sana, hata kama ingekuwa ni barua ya mstari mmoja, Ingewekwa kwenye faili lako.nakala sina
sasa hapo mkuu nifanyeje maana sina barua ya kunisaidia kufatilia pesa ya nssf nina familia sina hata pesa ya matumiziMaandishi sehemu ya kazi ni kitu muhimu sana, hata kama ingekuwa ni barua ya mstari mmoja, Ingewekwa kwenye faili lako.
Wao wako sahihi, kwa madai wanayotoa.
Unaweza kuwa nje ya kazi kwa kujaza likizo ya dharura au kama ni mgonjwa uwe na ED toka hospitali inayoeleweka. Sasa kama umeongea na "supervisor" wako labda mkiwa baa ukamwambie kesho siji kazi na hukufanya "formal application" hapo kweli umejifukuzisha kazi.habari wakuu
naomba mnisaidie mfanyakazi anawezaje kujifukuzisha kazi mimi sijaenda kazini siku 10 nilikua na matatizo ya kifamilia nilimjurisha msimamizi wangu wa kazi juu ya hili cha kushangaza nimerudi kazini hr anasema nimejifukuzisha kazi amekataa nisifanye kazi na amesema hawezi kunipatia chochote kama notise,wala barua ya kuniwezesha kufatilia malipo yangu ya nssf anasema mpaka niandike barua ya kuacha kazi na nimlipe notisi je ni haki? eti anasema nime abscond from job hii ipo vp nisaidieni nimepoteza kazi na sijalipwa chochote
Unaweza kuwa nje ya kazi kwa kujaza likizo ya dharura au kama ni mgonjwa uwe na ED toka hospitali inayoeleweka. Sasa kama umeongea na "supervisor" wako labda mkiwa baa ukamwambie kesho siji kazi na hukufanya "formal application" hapo kweli umejifukuzisha kazi.
Sidhani kama wamjiri anahitaji "Notice" yako maana hiyo "gross misconduct" na hasaka kwako ni kuwa CV imeharibika maana mwajiri mpya akiulizia mambo yako ataambiwa ulifukuwa kwa utoro kazini. Huyo HR kama anasisitiza uandike notisi atakuwa kilaza, basi tumia ukilaza wake mwandikie notisi ya mwezi mmoja au mitatu uendelee kpiga kazi mpaka mwisho wa notisi na utakuwa umesafisha CV yako maana utakuwa umeacha kazi mwenyewe
sawa nimekuelewa mwajiri anataka nimlipe pesa notisi wakati mimi ni mwajiriwa mshahara ni mwezi sasa notisi ni siku28 na mimi sijaenda kazini siku 9 ya kumi nimeripoti kazini
notisi ya mwezi mmoja atajitesa coz atatakiwa kuacha mshahara,,andike notisi ya miezi mitatu hapo atakuwa analipwa mshara kwa miezi yote hiyoUnaweza kuwa nje ya kazi kwa kujaza likizo ya dharura au kama ni mgonjwa uwe na ED toka hospitali inayoeleweka. Sasa kama umeongea na "supervisor" wako labda mkiwa baa ukamwambie kesho siji kazi na hukufanya "formal application" hapo kweli umejifukuzisha kazi.
Sidhani kama wamjiri anahitaji "Notice" yako maana hiyo "gross misconduct" na hasaka kwako ni kuwa CV imeharibika maana mwajiri mpya akiulizia mambo yako ataambiwa ulifukuwa kwa utoro kazini. Huyo HR kama anasisitiza uandike notisi atakuwa kilaza, basi tumia ukilaza wake mwandikie notisi ya mwezi mmoja au mitatu uendelee kpiga kazi mpaka mwisho wa notisi na utakuwa umesafisha CV yako maana utakuwa umeacha kazi mwenyewe
Inawezekana upo private sectorkingine nilimtumia ujumbe general manager juu ya matatizo yangu ila ule ujumbe mimi nimeufuta kwenye simu je naweza kwenda kwenye mtandao husika wa simu nitapatiwa ule ujumbe kama ushaidi inawezekana ?
Kila sehemu ya kazi ina utaratibu wa kutoa ruhusa. Je kwenu utaratibu upoje? Uiufuata huo utaratibu au ulibuni utaratibu wako.habari wakuu
naomba mnisaidie mfanyakazi anawezaje kujifukuzisha kazi mimi sijaenda kazini siku 10 nilikua na matatizo ya kifamilia nilimjurisha msimamizi wangu wa kazi juu ya hili cha kushangaza nimerudi kazini hr anasema nimejifukuzisha kazi amekataa nisifanye kazi na amesema hawezi kunipatia chochote kama notise,wala barua ya kuniwezesha kufatilia malipo yangu ya nssf anasema mpaka niandike barua ya kuacha kazi na nimlipe notisi je ni haki? eti anasema nime abscond from job hii ipo vp nisaidieni nimepoteza kazi na sijalipwa chochote
Siku 9 zote una matatizo ya kifamilia yapi? hata kama ni dharura mi mwenyewe ningekufukuza kazi.habari wakuu
naomba mnisaidie mfanyakazi anawezaje kujifukuzisha kazi mimi sijaenda kazini siku 10 nilikua na matatizo ya kifamilia nilimjurisha msimamizi wangu wa kazi juu ya hili cha kushangaza nimerudi kazini hr anasema nimejifukuzisha kazi amekataa nisifanye kazi na amesema hawezi kunipatia chochote kama notise,wala barua ya kuniwezesha kufatilia malipo yangu ya nssf anasema mpaka niandike barua ya kuacha kazi na nimlipe notisi je ni haki? eti anasema nime abscond from job hii ipo vp nisaidieni nimepoteza kazi na sijalipwa chochote
Ofisini kwenu mnaombana ruhusa kienyeji bila ya kujaza fomu ya ruhusa?kuacha kazi ni haki yako ila kuna notisi mbili,,moja ya masaa ishirini na nne ambayo utalazimika kumlipa mwajiri wako mshahara wa mwezi mmoja,,pili notisi ya mwezi mmoja ambayo utafanya kazi bila kulipwa na wewe hautamlipa mwajiri wako,,hapo ndipo utakapokuwa na haki ya kupata fao la kujitoa huko NSSFnilimpatia taarifa msimamizi wangu wa kazi ambaye ni muhindi cha kushangaza meneja mwajiri akumuita kumuuliza na hata mimi hakunipa nafasi ya kujieleza akuna cha kikao cha nidhamu na sijawahi hata kupewa barua ya onyo katika miaka 4 niliyofanya kazi