Ofisini kwenu mnaombana ruhusa kienyeji bila ya kujaza fomu ya ruhusa?kuacha kazi ni haki yako ila kuna notisi mbili,,moja ya masaa ishirini na nne ambayo utalazimika kumlipa mwajiri wako mshahara wa mwezi mmoja,,pili notisi ya mwezi mmoja ambayo utafanya kazi bila kulipwa na wewe hautamlipa mwajiri wako,,hapo ndipo utakapokuwa na haki ya kupata fao la kujitoa huko NSSF
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kwa wahindi taratibu nyingi sana zinakiukwa na wanatumia pesa kuwanyonya,,,kama atakataaa itabidi avunje yeye mkataba na akuwezeshe ukapate mafao yako,,maana hapo naona big ishu ni wewe kupata mafao yako,,,ukiona anakataaa vyote nenda ofisi za kazi ukamfungulie mashtakanashukuru kwa msaada wako mimi nitafanya kazi mwezi bure ili nipate barua yangu na vp kama mwajiri atakataa nisifanye kazi mwezi
uliandika barua ya ruhusa ? ulijibiwa barua ?nilimpatia taarifa msimamizi wangu wa kazi ambaye ni muhindi cha kushangaza meneja mwajiri akumuita kumuuliza na hata mimi hakunipa nafasi ya kujieleza akuna cha kikao cha nidhamu na sijawahi hata kupewa barua ya onyo katika miaka 4 niliyofanya kazi
Unajua kwa wahindi taratibu nyingi sana zinakiukwa na wanatumia pesa kuwanyonya,,,kama atakataaa itabidi avunje yeye mkataba na akuwezeshe ukapate mafao yako,,maana hapo naona big ishu ni wewe kupata mafao yako,,,ukiona anakataaa vyote nenda ofisi za kazi ukamfungulie mashtaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie unarudi kazini kutumikia notisi huna pesa ya kumlipa; hizo siku 9 akate kwenye likizo yakosawa nimekuelewa mwajiri anataka nimlipe pesa notisi wakati mimi ni mwajiriwa mshahara ni mwezi sasa notisi ni siku28 na mimi sijaenda kazini siku 9 ya kumi nimeripoti kazini
Mwambie unarudi kazini kutumikia notisi huna pesa ya kumlipa; hizo siku 9 akate kwenye likizo yako
Ofisini kwenu mnaombana ruhusa kienyeji bila ya kujaza fomu ya ruhusa?kuacha kazi ni haki yako ila kuna notisi mbili,,moja ya masaa ishirini na nne ambayo utalazimika kumlipa mwajiri wako mshahara wa mwezi mmoja,,pili notisi ya mwezi mmoja ambayo utafanya kazi bila kulipwa na wewe hautamlipa mwajiri wako,,hapo ndipo utakapokuwa na haki ya kupata fao la kujitoa huko NSSF
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa nipo tayari shida yangu tuachane kwa amani maana mimi bado naitaji kazi ila matatizo na nilimjulisha general manager juu ya tatizo langu ila kwa sababu mimi ni mtanzania na yeye muhindi na meneja mwajiri muhindi hawakunitafuta wala kutaka kunisaidia juu ya matatizo yangu na mimi nisingeweza kumuacha mke wangu apoteze maisha mimi nikiwa kazini maana alikua ni mgonjwa sana na hata siku naondoka kazini ilikua gafla tu sikuweza kufatilia utaratibu kwa hr
Bado ujafukuzwa/wala kujifukuzisha kazi. Nakushauri badala ya ushauri wa juu seek a proper legal consultation.Habari wakuu
Naomba mnisaidie mfanyakazi anawezaje kujifukuzisha kazi? Mimi sijaenda kazini siku 10 nilikuwa na matatizo ya kifamilia nilimjulisha msimamizi wangu wa kazi juu ya hili. Cha kushangaza nimerudi kazini HR anasema nimejifukuzisha kazi.
Amekataa nisifanye kazi na amesema hawezi kunipatia chochote kama notice wala barua ya kuniwezesha kufatilia malipo yangu ya NSSF mpaka niandike barua ya kuacha kazi na nimlipe notisi.
Je ni haki? Eti anasema nimeabscond from job hii ipo vipi nisaidieni nimepoteza kazi na sijalipwa chochote
Contact a lawyer you have a strong case against your employer (wrongful termination/unfair dismissal) usiogope gharama...hizo ela naziona nje nje!sasa hapo mkuu nifanyeje maana sina barua ya kunisaidia kufatilia pesa ya nssf nina familia sina hata pesa ya matumizi
Nenda pale CMA utakutana na mawakili wanaweza kukusaidia mpaka hapo utakapopata haki zako utawalipakweli mimi nataka barua tu nifatilie pesa zangu za nssf maana mambo ya kesi siyawezi pesa sina za kuwalipa wanasheria mfano mdogo muda huu natokea tuico mimi si mwanachama wa tuico nimepata wakati mgumu sana kupata msaada hapa tuico temeke huyu mdada kunijazia fomu tu anataka 50 elfu nimemwambia sina kasema atanijazia tu kwa heshima yangu ila mambo mengine ya kesi nijisimamie mwenyewe
Contact a lawyer you have a strong case against your employer (wrongful termination/unfair dismissal) usiogope gharama...hizo ela naziona nje nje!
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni ujinga wenu!ukaruhusiwa au ulijipa mwenyewe ruhusa
Kama umejipa mwenyewe na hali ya maisha yalivyo sasa naona kapata njia ya kukutimua tu lakini kisheria na mimi nasubiri nisome comments
Pole
Hapo upo correct! Sheria inasema utoe taarifa, siyo upewe ruhusa!!nilimpatia taarifa msimamizi wangu wa kazi ambaye ni muhindi cha kushangaza meneja mwajiri akumuita kumuuliza na hata mimi hakunipa nafasi ya kujieleza akuna cha kikao cha nidhamu na sijawahi hata kupewa barua ya onyo katika miaka 4 niliyofanya kazi
Kwani ni sheria gani inasema lazima ruhusa ijibiwe!!? Kama umetoa taarifa na genuine na anaetaka kutoa ruhusa unayosema akikaa kimya Mimi nisiende kwenye emergence niliyopata eti kisa ruhusa?uliandika barua ya ruhusa ? ulijibiwa barua ?
We ni chokoraa au bangi zinakusumbua?Acheni ujinga wenu!
Hakuna sheria yoyote ya utumishi wa umma inayosema, mtumishi uombe ruhusa!
Sheria inasema, kama siku 5 mfululizo hujawepo kazini bila likizo au sababu yoyote ya msingi ni sawa umejifukuzisha kazi!
Sasa ni wapi imeandikwa lazima upewe ruhusa? Cha msingi kama taarifa ilitolewa kwa maandishi hapo hamna kufukuzwa!
acha upumbavu eti hakuna sheria inayosema mtumishi aombe ruhusa.wewe umeajiriwa idara gani kwanza tuanzie hapoKwani ni sheria gani inasema lazima ruhusa ijibiwe!!? Kama umetoa taarifa na genuine na anaetaka kutoa ruhusa unayosema akikaa kimya Mimi nisiende kwenye emergence niliyopata eti kisa ruhusa?
Kwanza hakuna sheria inayosema mtumishi uombe ruhusa! Hizo ni kanuni na taratibu inayosema hivyo