Ndo maana mi nataka niwe mjasiriamaliHabari wakuu
Naomba mnisaidie mfanyakazi anawezaje kujifukuzisha kazi? Mimi sijaenda kazini siku 10 nilikuwa na matatizo ya kifamilia nilimjulisha msimamizi wangu wa kazi juu ya hili. Cha kushangaza nimerudi kazini HR anasema nimejifukuzisha kazi.
Amekataa nisifanye kazi na amesema hawezi kunipatia chochote kama notice wala barua ya kuniwezesha kufatilia malipo yangu ya NSSF mpaka niandike barua ya kuacha kazi na nimlipe notisi.
Je ni haki? Eti anasema nimeabscond from job hii ipo vipi nisaidieni nimepoteza kazi na sijalipwa chochote
Achana nae huyu zuzu asiejua hata sheriaacha upumbavu eti hakuna sheria inayosema mtumishi aombe ruhusa.wewe umeajiriwa idara gani kwanza tuanzie hapo
Tatizo mnakariri....!! Lete sheria inayosema lazima mtumishi kuomba ruhusa! Hizi ni taratibu na kanuni ndogondogo za sehemu za kazi. Angalia standing order then unipe kifungu au sheria yoyote inayosema mtumishi lazima uombe ruhusa! Mi nachojua ni kwamba cha muhimu ni kutoa taarifa.....!!!acha upumbavu eti hakuna sheria inayosema mtumishi aombe ruhusa.wewe umeajiriwa idara gani kwanza tuanzie hapo
Wekeni evidence hapa! Tatizo mnaongea kwa mazoea!nae huyu zuzu asiejua hata sheria
Halafu nyie ni wale watumishi wanaoishi kwa mazoea......!! Mlikariri...!barua ya ruhusa ? ulijibiwa barua ?
Dharura vya siku kumi ni ipiHalafu nyie ni wale watumishi wanaoishi kwa mazoea......!! Mlikariri...!
Ukiwa na dharura, cha msingi ni kutoa taarifa!
Umeishaenda CMA ....stop informal negotiations- not healthy for you case.nimepeleka malalamiko cma nimepangiwa tarehe22 march kwa usuluhishi nimejaribu kuongea na mwajiri ili anipatie barua ya kusitisha ajira ili nifatilie mafao yangu nssf amekataa anasema tusubiri maamuzi ya cma ila mimi ndiye mpataji wa shida maana kazi sina familia inazidi kupata shida na mimi kama baba sina ajira
Nashindwa kumuelewa mwajiri nimejaribu kumuomba tuyamalize mimi sikupenda yatokee anipatie barua ya kusitisha ajira hataki
Achana na mwajiri tena, hapo yeye ndo ataomba msiende mbali zaidinimepeleka malalamiko cma nimepangiwa tarehe22 march kwa usuluhishi nimejaribu kuongea na mwajiri ili anipatie barua ya kusitisha ajira ili nifatilie mafao yangu nssf amekataa anasema tusubiri maamuzi ya cma ila mimi ndiye mpataji wa shida maana kazi sina familia inazidi kupata shida na mimi kama baba sina ajira
Nashindwa kumuelewa mwajiri nimejaribu kumuomba tuyamalize mimi sikupenda yatokee anipatie barua ya kusitisha ajira hataki