Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
- #81
Umemjibu kitaalamu.We jamaa unajifanyaga una akili lakini zero tu.
Mtumishi wa serikali kila siku ya Mungu anaongezew kazi hata kama serikali haitangazi.
Watumishi wanahudumia wananchi kila siku idadi ya wananchi wanaongezeka subiri sensa ya mwakani uone tupo wangapi hafu ulinganishe Na idadi ya 2012 .
Kwa mtumishi ongezeko LA watu = ongezeko LA kazi
Inaapply kwa kada zote !!daktari wa serikalini,planners,maafisa utumishi,watendaji,maafisa ardhi,wapima ardhi,walimu,wahandisi,mahakimu,polisi, ma IT experts nk
Hongera